Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile
Mfanyakazi Online Media

@mfanyakazinews

UKWELI NA UWAZI : :
[email protected]

ID: 851140009935687681

calendar_today09-04-2017 18:29:26

3,3K Tweet

452,452K Takipรงi

0 Takip Edilen

Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

NYUMBA YA SHILINGI BILIONI 25 DUBAI "Nimepata taarifa kuwa kuna mtu (kiongozi wa serikali ya Tanzania) amenunua nyumba Palm Jumeirah, Dubai, by the beach (ufukweni) kwa $10 million (zaidi ya Shilingi bilioni 25). Unajiuliza huyu kiongozi amepataje hizi pesa?" Hamisi Kigwangalla

NYUMBA YA SHILINGI BILIONI 25 DUBAI

"Nimepata taarifa kuwa kuna mtu (kiongozi wa serikali ya Tanzania) amenunua nyumba Palm Jumeirah, Dubai, by the beach (ufukweni) kwa $10 million (zaidi ya Shilingi bilioni 25). Unajiuliza huyu kiongozi amepataje hizi pesa?" Hamisi Kigwangalla
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

TEAM MBOWE WALIKUWA WANATANIA AU WANAPANDISHA DAUโ“ "Siyo kwamba hatutashiriki uchaguzi wa 2024 na 2025, bali uchaguzi huo hautafanyika na wanaotaka kushiriki hawatashiriki. Ni vizuri tukaelewana hivyo" Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara), 2019 hadi Januari 2025

Tanzania Business Insight (@tanzaniainsight) 's Twitter Profile Photo

๐—Ÿ๐—ข๐—ข๐— ๐—œ๐—ก๐—š ๐—ง๐—ฅ๐—”๐——๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ฅ? ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐˜€๐˜€๐˜‚๐—ฒ๐˜€ ๐˜‚๐—ป๐—ฝ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ ๐˜๐—ผ ๐—ฆ๐—ผ๐˜‚๐˜๐—ต ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ, ๐— ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐˜„๐—ถ โ—พAgriculture Minister Hussein Bashe threatens punitive trade barriers against the two fellow SADC member states โ—พTanzania

๐—Ÿ๐—ข๐—ข๐— ๐—œ๐—ก๐—š ๐—ง๐—ฅ๐—”๐——๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ฅ? 

๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐˜€๐˜€๐˜‚๐—ฒ๐˜€ ๐˜‚๐—ป๐—ฝ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ ๐˜๐—ผ ๐—ฆ๐—ผ๐˜‚๐˜๐—ต ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ, ๐— ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐˜„๐—ถ

โ—พAgriculture Minister Hussein Bashe threatens punitive trade barriers against the two fellow SADC member states

โ—พTanzania
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

MAREKANI YAINYOOSHEA KIDOLE TANZANIA, YAONYESHA WASIWASI KAMA UCHAGUZI UTAKUWA HURU "Matukio ya kisiasa ya hivi karibuni yameibua wasiwasi mkubwa iwapo Tanzania inaweza kuandaa na kuendesha chaguzi zilizo jumuishi na za amani" Tamko la serikali ya Marekani

MAREKANI YAINYOOSHEA KIDOLE TANZANIA, YAONYESHA WASIWASI KAMA UCHAGUZI UTAKUWA HURU

"Matukio ya kisiasa ya hivi karibuni yameibua wasiwasi mkubwa iwapo Tanzania inaweza kuandaa na kuendesha chaguzi zilizo jumuishi na za amani" Tamko la serikali ya Marekani
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

NIKO TAYARI KUNYONGWA - TUNDU LISSU "Nimekwenda jela kumsalimu Tundu Lissu. Kaniambia neno hili - hata kama wataninyonga (kwa mashitaka ya uhaini), msiache kupigania mabadiliko katika nchi yetu. Niko tayari kunyongwa" Godbless Lema

NIKO TAYARI KUNYONGWA - TUNDU LISSU

"Nimekwenda jela kumsalimu Tundu Lissu. Kaniambia neno hili - hata kama wataninyonga (kwa mashitaka ya uhaini), msiache kupigania mabadiliko katika nchi yetu. Niko tayari kunyongwa" Godbless Lema
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

"Wamebandika neno 'huru' ili iitwe tume huru. Ni mzaha, dhihaka tu. Huwezi ukachukua nguruwe ukampaka lipstick halafu ukamfanya Miss Kinondoni. Ukapita mitaani na nguruwe wako amepaka lipstick ameandikwa mgongoni Miss Kinondoni. Haiwezekani hiyo, ni dhihaka" Jenerali Ulimwengu

"Wamebandika neno 'huru' ili iitwe tume huru. Ni mzaha, dhihaka tu. Huwezi ukachukua nguruwe ukampaka lipstick halafu ukamfanya Miss Kinondoni. Ukapita mitaani na nguruwe wako amepaka lipstick ameandikwa mgongoni Miss Kinondoni. Haiwezekani hiyo, ni dhihaka" Jenerali Ulimwengu
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

TUNDU LISSU NI NELSON MANDELA WA TANZANIA? โ—พWote walipigania mabadiliko kwenye nchi zao โ—พWote walitaka kuuwawa kutokana na harakati zao za kudai haki โ—พWote walishitakiwa kwa kesi za uhaini โ—พWote walisema kuwa wako tayari kufa kwenye mapambano ya kutafuta mabadiliko

TUNDU LISSU NI NELSON MANDELA WA TANZANIA?

โ—พWote walipigania mabadiliko kwenye nchi zao

โ—พWote walitaka kuuwawa kutokana na harakati zao za kudai haki

โ—พWote walishitakiwa kwa kesi za uhaini

โ—พWote walisema kuwa wako tayari kufa kwenye mapambano ya kutafuta mabadiliko
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Taarifa za kuaminika kutoka kwa wanasheria wa Mhe. Tundu Lissu na familia yake ni kwamba, Mh. Lissu ameondolewa kwenye gereza la Keko na msafara mkubwa. Zaidi, familia na marafiki wamezuiliwa kumtembelea tokea jana. Admin.

Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

TUNDU LISSU AHAMISHIWA GEREZA LA UKONGA CHADEMA imetangaza kuwa leo, tarehe 19 Aprili 2025, viongozi wake wakuu wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amehamishiwa katika Gereza la Ukonga kutoka Gereza la Keko.

TUNDU LISSU AHAMISHIWA GEREZA LA UKONGA

CHADEMA imetangaza kuwa leo, tarehe 19 Aprili 2025, viongozi wake wakuu wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amehamishiwa katika Gereza la Ukonga kutoka Gereza la Keko.
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

WANATAKA KUMUUWA TUNDU LISSU - HECHE "Tundu Lissu aliyepigwa risasi 16 Mungu akamuokoa, serikali imempa kesi ambayo wanataka wamhukumu na wamnyonge wamuuwe. Hajaiba kitu cha mtu, hajauwa mtu. Anachosema ni kuwa anahitaji mifumo huru na haki ya kusimamia uchaguzi" John Heche

WANATAKA KUMUUWA TUNDU LISSU - HECHE

"Tundu Lissu aliyepigwa risasi 16 Mungu akamuokoa, serikali imempa kesi ambayo wanataka wamhukumu na wamnyonge wamuuwe. Hajaiba kitu cha mtu, hajauwa mtu. Anachosema ni kuwa anahitaji mifumo huru na haki ya kusimamia uchaguzi" John Heche
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

โ€œNani anaharibu amani? Anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa haki? Waliokamatwa kwa kudai haki wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila mashartiโ€ Askofu Wolfgang Pisa, Rais wa TEC

โ€œNani anaharibu amani? Anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa haki? Waliokamatwa kwa kudai haki wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila mashartiโ€ Askofu Wolfgang Pisa, Rais wa TEC
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

PUMZIKA KWA AMANI YA MILELE PAPA WA WATU ๐Ÿ™๐Ÿฝ Mwaka 2019 Papa Francis aliishangaza dunia alivyobusu miguu ya Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini na Makamu wake Riek Machar huku akiwasihi wamalize vita iliyouwa wananchi wengi wasio na hatia.

PUMZIKA KWA AMANI YA MILELE PAPA WA WATU ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Mwaka 2019 Papa Francis aliishangaza dunia alivyobusu miguu ya Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini na Makamu wake Riek Machar huku akiwasihi wamalize vita iliyouwa wananchi wengi wasio na hatia.
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

UJUMBE WA FATHER CHARLES KITIMA KWA WATANZANIA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WASIOJULIKANA "Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki.. Tunapozungumzia mambo ya msingi kitaifa yanayotakiwa kurekebishwa ili uchaguzi ufanyike kwa haki tusiogope kulipa gharama"

UJUMBE WA FATHER CHARLES KITIMA KWA WATANZANIA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WASIOJULIKANA

"Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki.. Tunapozungumzia mambo ya msingi kitaifa yanayotakiwa kurekebishwa ili uchaguzi ufanyike kwa haki tusiogope kulipa gharama"
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

TEC YATAKA UCHUNGUZI WA HARAKA, WAZI BILA UPOTOSHAJI Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeitaka Serikali ifanye uchunguzi wa haraka, wazi na usiokuwa na upotoshaji kwenye tukio la kushambuliwa Padri Charles Kitima na kuumizwa na wasiojulikana jana usiku

TEC YATAKA UCHUNGUZI WA HARAKA, WAZI BILA UPOTOSHAJI

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeitaka Serikali ifanye uchunguzi wa haraka, wazi na usiokuwa na upotoshaji kwenye tukio la kushambuliwa Padri Charles Kitima na kuumizwa na wasiojulikana jana usiku
Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

MAHAKAMA INAINGILIWA NA SERIKALI KESI YA LISSU - JAJI JOSEPH WARIOBA "Ni kama mahakama inaanza kuingiliwa. Maana yake ni kuwa serikali inatoa presha na katika hali hii ya uoga inawezekana hata mahakama ikasita na ikifanya maamuzi watu wasiamini imefanya uamuzi ule independently"

MAHAKAMA INAINGILIWA NA SERIKALI KESI YA LISSU - JAJI JOSEPH WARIOBA

"Ni kama mahakama inaanza kuingiliwa. Maana yake ni kuwa serikali inatoa presha na katika hali hii ya uoga inawezekana hata mahakama ikasita na ikifanya maamuzi watu wasiamini imefanya uamuzi ule independently"