🐦 (@merojr13) 's Twitter Profile
🐦

@merojr13

I Think Therefore I am
#HustleAlwaysBelieve
@YoungAfricansSc 💛💚
@ChelseaFc 💙

ID: 1587284296292831232

calendar_today01-11-2022 03:24:55

8,8K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

Jeshini usipotandika kitanda asubuhi ni kosa kubwa sana. Utapigwa doso kali hadi hata Vasco Da Gama. JKT nilikuwa nawaona majamaa miyeyusho sana kwa kufuatilia vitu vidogo vidogo kama kutandika kitanda. Lakini sasa hivi nimeelewa kuwa haikuwa tu kutandika kitanda bali ilikuwa

uncle chitemo (@mikumifinest) 's Twitter Profile Photo

Niliwahi kumuuliza Baba mbona ndugu zako Huwa hawanisaidii kwa lolote . Alinijibu Tena kwa lugha yetu asili ili kuweka msisitizo . "Sio Kila pesa niliyokutumia ukiwa shule Ilitoka mfukoni mwangu , ni vile tu Huwa sikwambii natoa wapi ". Mwisho wa kunukuu

chizzo drama (@chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

🔵 JESUSTA= JESU + STAN JESU = JESUS kilatini , Kiswahili tunaita YESU STA=STAN = Mfuasi ( number one hardcore fan of jesus ) So JESUSTA = ni mfuasi wa yesu (mfia dini to be precisely) As an album wewe shabiki inapaswa ujue amekaa angle ipi 👇⬇️

🔵 JESUSTA= JESU + STAN 

JESU = JESUS  kilatini , Kiswahili tunaita YESU

STA=STAN = Mfuasi ( number one hardcore fan of jesus ) 

So JESUSTA = ni mfuasi wa yesu (mfia dini to be precisely)

As an album wewe shabiki inapaswa ujue amekaa angle ipi 👇⬇️
Dizasta Vina (@dizastavina) 's Twitter Profile Photo

Ushabiki ni sehemu ya hitaji la kisaikolojia la binadamu, hii ipo tangu kuwepo kwetu kwenye uso wa ulimwengu. Inasaidia kuonyesha utambulisho (identity) na muunganiko wa kihisia baina ya wahusika. Faida ya wahusika wa upande mmoja mara nyingi huwa ni udhia kwa wahusika wa upande

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

BLACK MARADONA namna anaimaliza Beat ni kama hataki kumbe ndio anashambulia. Nguvu kidogo Panchi nyingi. Mnapata wapi ujasiri wa kutomsikiliza??

Dume MCI 傑瑞 (@dume_jeuri__) 's Twitter Profile Photo

Sema masawe ile punch amepigwa na dizasta wa vina itachukua karne kuijibu Inabidi tu akamtafute Rapcha aje amsaidie Bila ivyo hatoboi 😆😆🙌

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Dear wafalme, Kumsikiliza Dizasta Vina ni Afya: -Jesusta (2018) -The Verteller (2021) -A father figure (2026) -The wonderboy mixtape (2017) Ana album 4, single & collabo kadhaa Lakini anzia hapa. Dizasta Vina

John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina Dizasta Vina 🐐🐐🐐🐐🐐

Fundi mshona viatu (@mshonaviatu) 's Twitter Profile Photo

Kwa sababu nyie mmechagua kukaa upande wa kumchukia Vina basi hatuna chochote cha kubadilisha hizo chuki zenu itoshe kusema hivo. BLACK MARADONA 👑

Kwa sababu nyie mmechagua kukaa upande wa kumchukia Vina basi hatuna chochote cha kubadilisha hizo chuki zenu itoshe kusema hivo.

BLACK MARADONA 👑
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

RAP NI MAHESABU WAZEE 👇🏽 "Kimistari im so tall{So-To} nikisimama wananifikia kwenye torso" 👉🏽 SOTO~TOSO Sio internationa kama KOLO im so Local{LOKO}"👉🏽KOLO~LOKO Japo Sometimes naenda shika GOTO hata TOGO, Level dope sio uGOLO soma LOGO" 👉🏽GOTO~TOGO 👉🏽u-GOLO~LOGO 👇🏽👇🏽