Mentalglow
@mentalglowtz
The sole purpose of human experience is to kindle a light in the darkness of mere being. –Carl Jung
Let's link up👇🏿
heylink.me/mentalglow
ID: 1612148699081195524
08-01-2023 18:07:04
274 Tweet
129 Followers
65 Following
I was able to visit Mirembe National Mental Health Hospital 😌where I learned about their psychological services. What stood out was the high demand for these services compared to the low number of experts in the field, and the necessary steps to bridge this gap🫂. I now feel more inspired🌟
Nimeshiriki kwenye show nyingi za Podcast lakini hii hapa natamani Kila mmoja wetu aweze kusikiliza. Tujifunze kuhusu unyanyasaji wa watoto, athari na tufanye Nini kama Jamii. Asante Jacqueline owden kwa kunialika.
Tune in to Ep 38 to get some insights from The Holistic Wellness Coach 🇹🇿 on how you can heal and become resilient after experiencing years of abuse by clicking the link below🔗 ⏬️ linktr.ee/mentalglow
Katika kipindi cha 38 Mr. The Holistic Wellness Coach 🇹🇿 alihimiza umuhimu wa kuwajibisha watu wanaofanya unyanyasaji wa watoto. Kama bado hujasikiliza kipindi cha 38, tafadhali bofya link hapo chini ili upate kusikiliza na kujifunza zaidi. 👇🏿 linktr.ee/mentalglow