Please rt
Makange ya firigisi 😍
Unapata na wali, Ugali, chapati, Ndizi, chips.
Namba yetu ya order: 0625198207
Tunapatikana Budget, sinza lion
Tunatoa huduma ya delivery
Tunacharge 500 ya take away
Karibuni sana 🫶🏼
Leo nimekutana na andiko hili zuri sana — hata kama wewe sio mkristo unaweza kulisoma:
“Nitakurejeshea mara saba ya kile ulichopoteza.” — Yoeli 2:25.
Ni Mungu ndiye anasema haya.
Kwamba atarudisha na uzidio mara saba kwa kila kitu ulichopoteza maishani mwako kwa kuonewa.
Leo nimekutana na mzee (tunafahamiana) anauguza ameamua kufunga biashara zake ahamie Dar kuja kuuguza mke wake, pamoja na yote tabasamu lake halijapotea. Mungu amtie nguvu.
Ee Mwenyezi Mungu, naweka afya yangu mikononi mwako, nipe nguvu,uniponye, na unitunze kwa rehema zako.
Bariki kazi ya mikono yangu na fungua milango ya riziki njema, halali na yenye amani.
Na kesho yangu iwe katika nuru yako yenye tumaini, fursa, na ushindi.
Amina 🙏🏼
Angalia Team za Ulaya zinazo tengenezewa Jersey na kampuni Mfano Nike unaweza jifunza kitu. Nyie vijana wa Yanga mnao lia kwa hisia Wanaume wakiwa Wanao Kuna Michezo sio Bure .