Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro akiwa ndiye mgeni rasmi, ikiwa ni mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Azali Assoumani.
Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango
26 Jеwish terrorists were killed & injured in a massive ambush in northern Gaza’s Beit Hanoun Yesterday. High ranking officer killed. 3 soldiers missing, fear they were kidnapped.
Gaza is becoming a graveyard for Israeli "soldiers".
🚨🇾🇪🇮🇱 BREAKING: YEMEN’S ANSAR ALLAH releases video of their BOMBING & SINKING of the “Magic Seas” ship, which tried to break the anti-Zionist Red Sea Blockade.
Polepole anasema mwanzoni mwa mwaka huu kuna mambo yamefanyika ndani ya CCM yanayomfanya ajiulize "maslahi ya nani haswa yamekuwa yanapiganiwa,mtu,kikundi au chama taasisi? "
Kwani mwanzoni mwa mwaka huu kumefanyika nini jamani huko chamani? Mbona kama Polepole amefyatuka
Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo tumehitimisha safari tuliyoianza miaka miwili iliyopita kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ikiwa ni mara ya pili kwa Taifa letu kufanya hivi tangu Uhuru. Dira hii ni maoni ya wananchi wote ambapo kwa miaka 25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanakisalimiana na Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe mara baada ya kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa Njia ya Mtandao unaofanyikia katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
KAMATI KUU CCM YAMALIZA KIKAO MUDA HUU
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Wajumbe wa Kamati Kuu wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu.
The Tanzanian national anthem… it hits deep tonight. 🇹🇿💛
Goosebumps. Pride. Emotion in every corner of the stadium.
A powerful moment for the nation.
Now, it’s time. Let history begin.
#CHANwithMicky
#TaifaStars
#AfricanFootball
#VisitTanzania