Mchachu, PhD🐐 (@mchachu_) 's Twitter Profile
Mchachu, PhD🐐

@mchachu_

Kikiwaka Mulika, Kikizimika Papasa!!! #Simba #Chelsea

ID: 1363064310956765189

calendar_today20-02-2021 09:54:08

253,253K Tweet

29,29K Followers

1,1K Following

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Licha ya kwamba Mto Nile asili yake ni Tanzania ziwa Victoria lakini wamiliki wa Mto huo ni Misri. Mto Nile ni zaidi ya mto tu kwa Misri ni roho na uhai wa taifa hilo la kaskazini mwa Afrika. Wao wana amini bila kufanya kafara zao basi mto huo usinge kuwepo hadi leo. Kwa

Licha ya kwamba Mto Nile asili yake ni Tanzania ziwa Victoria lakini wamiliki wa Mto huo ni Misri.

Mto Nile ni zaidi ya mto tu kwa Misri  ni roho na uhai wa taifa hilo la kaskazini mwa Afrika. 

Wao wana amini bila kufanya kafara zao basi mto huo usinge kuwepo hadi leo.

Kwa
ZINDUNAπŸ‰ (@joka_kubwa) 's Twitter Profile Photo

Sema Ukweli Tukuchukie SISI NDO TANZANIA..😁 MPAMBANAJI vipi siku imeendaje leo...!!!!!? Mshukuru MUNGU kwa namna yoyote ilee....πŸ™

Sema Ukweli Tukuchukie SISI NDO TANZANIA..😁

MPAMBANAJI vipi siku imeendaje leo...!!!!!?

Mshukuru MUNGU kwa namna yoyote ilee....πŸ™
CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

BRUCE MCARTHUR alikuwa muuaji wa mfululizo wa Canada aliyepatikana na hatia ya kuwaua wanaume wanane kati ya 2010 na 2017. Alilengwa hasa wanaume kutoka jamii ya LGBTQ+, wengi wao wakiwa wahamiaji. Tujue mkasa mzima hapo chini πŸ‘‡ THREAD πŸ‘‡β€΅οΈ

BRUCE MCARTHUR alikuwa muuaji wa mfululizo wa Canada aliyepatikana na hatia ya kuwaua wanaume wanane kati ya 2010 na 2017. Alilengwa hasa wanaume kutoka jamii ya LGBTQ+, wengi wao wakiwa wahamiaji. 

Tujue mkasa mzima hapo chini πŸ‘‡

THREAD πŸ‘‡β€΅οΈ
AK47 (@iamofficialten) 's Twitter Profile Photo

Picha ya Hector Akiwa amepoteza Fahamu, Mbusyia akimbeba kwa haraka, Antoniette akipiga yowe pembeni ni moja ya picha ambayo watu Afrika kusini wakiitazama inawakumbusha madhira ya june 16, 1976 wakati wa mapambano dhidi ya Apartheid Policy wakati wa makaburu. Fungua Uzi🚨

Picha ya Hector Akiwa amepoteza Fahamu, Mbusyia akimbeba kwa haraka, Antoniette akipiga yowe pembeni ni moja ya picha ambayo watu Afrika kusini wakiitazama inawakumbusha madhira ya june 16, 1976 wakati wa mapambano dhidi ya Apartheid Policy wakati wa makaburu.

Fungua Uzi🚨
Uncle chitemo (@ankowataifa) 's Twitter Profile Photo

Sikuhizi Wabongo wanajitahidi sana kufollowback .Sasa hii tweet wanaijer pia wapo Weka Handle upate more followers πŸ‘ŠπŸ‘Š

π’Œπ’Šπ’†π’π’šπ’†π’‹π’Š 𝓢𝓼𝓸𝓯𝓽 (@mchumbaako) 's Twitter Profile Photo

π—žπ—œπ—‘π—”π—₯𝗔 π—£π—Ÿπ—¨π—¦ π—¦π— π—˜!! #yastanzania Ukiwa na kinara Sme utapata menu ya vifurishi vya gharama nafuu zaidi Menu πŸ‘‰*148*44# VIGEZO & MASHARTI. πŸ“Œ Majina yako Matatu πŸ“Œ Namba ya NIDA. πŸ“Œ TIN Namba yako mawasiliano πŸ‘‡ Piga: 0753605341 Whatsapp: 0678231552

π—žπ—œπ—‘π—”π—₯𝗔 π—£π—Ÿπ—¨π—¦ π—¦π— π—˜!! 

 #yastanzania

Ukiwa na kinara Sme utapata menu ya vifurishi vya  gharama nafuu zaidi

   Menu πŸ‘‰*148*44#  

VIGEZO & MASHARTI.  
πŸ“Œ Majina yako Matatu 
πŸ“Œ Namba ya NIDA.
πŸ“Œ TIN Namba yako 

mawasiliano πŸ‘‡

Piga: 0753605341
Whatsapp: 0678231552
MpembA (@iammpemba) 's Twitter Profile Photo

Aiseee nimekutana na hizo clip kipindi ya vita kali baina ya hao jamaa hapo chini Kila siku ilikuwa ni updates mpya mwendo ulikuwa wa kufukua makaburi tuu Nimekusogezea mkanda mzima Video Thread

Aiseee nimekutana na hizo clip kipindi ya vita kali baina ya hao jamaa hapo chini
      Kila siku ilikuwa ni updates mpya mwendo ulikuwa wa kufukua makaburi tuu

Nimekusogezea mkanda mzima 

Video Thread
Arusha KingπŸ‘‘ (@arusha_king) 's Twitter Profile Photo

Usitarajie Kuwaona Watu Wenye Blue tick WakiRepost Post Yako Hata Iwe Ya #NoReformsNoElection Na Ndiyo Hao Hao Wanaotaka Mabadiliko!😎 Mabadiliko Yaanzie Humu Kwanza Mazee TUSIBAGUE, USIPITE POST YA HARAKATI KISA BLUE TICK✌️🀝

Usitarajie Kuwaona Watu Wenye Blue tick WakiRepost Post Yako Hata Iwe Ya #NoReformsNoElection  
Na Ndiyo Hao Hao Wanaotaka Mabadiliko!😎
Mabadiliko Yaanzie Humu Kwanza Mazee TUSIBAGUE, USIPITE POST YA HARAKATI KISA BLUE TICK✌️🀝