JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI

@mccjkm

JKM inaundwa na wanafunzi wakatoliki wanaosoma katika chuo cha MUHAS. Lengo kuu ni kumleta Kristo katika maisha ya wanafunzi na wataalamu wa afya wa kesho.

ID: 1403989826018361348

linkhttp://www.mccjkm.com calendar_today13-06-2021 08:17:56

612 Tweet

559 Takipçi

35 Takip Edilen

JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

SEMINA YA IMANI✨ JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani Mada katika siku ya kwanza itakuwa ni VIJANA NI TUMAINI LA KANISA na mzungumzaji atakuwa ni PD. DKT. CHARLES KITIMA. 🗓️ 11 February 2025. ⏰ 11:30 Jioni 📍Muhimbili - Parokiani. #JKM #JKMKuleananakupendana

SEMINA YA IMANI✨

JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani

Mada  katika siku ya kwanza itakuwa ni  VIJANA NI TUMAINI LA KANISA na mzungumzaji atakuwa ni PD. DKT. CHARLES KITIMA.

🗓️ 11 February 2025.
⏰ 11:30 Jioni
📍Muhimbili - Parokiani. 

#JKM #JKMKuleananakupendana
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

SEMINA YA IMANI✨ JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani. Mada katika siku ya pili itakuwa ni “CHANGAMOTO ZA VIJANA KATIKA SAFARI YA IMANI" na mzungumzaji atakuwa ni PD. PROSPER KESSY OFMCap 🗓️ 12 February 2025 ⏰ 11:30 - 1:00 Jioni 📍Muhimbili - Parokiani #MCCJKM

SEMINA YA IMANI✨

JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani.

Mada  katika siku ya pili itakuwa ni  “CHANGAMOTO ZA VIJANA KATIKA SAFARI YA IMANI" na mzungumzaji atakuwa ni PD. PROSPER KESSY OFMCap 

🗓️ 12 February 2025
⏰ 11:30 - 1:00 Jioni
📍Muhimbili - Parokiani

#MCCJKM
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

Je, ni kwa namna gani kama kijana kanisa linakutegemea? Wajibu wako ni upi katika kanisa? Haya yote yanapatikana katika mafundisho yaliyotolewa na Pd. Dkt Charles Kitima, Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Tazania. Karibu utazame na Kujifunza mengi. youtu.be/UHPpSVJD8mU?si… #JKM

Je, ni kwa namna gani kama kijana kanisa linakutegemea? Wajibu wako ni upi katika kanisa? Haya yote yanapatikana katika mafundisho yaliyotolewa na Pd. Dkt Charles Kitima, Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Tazania.

Karibu utazame na Kujifunza mengi.

youtu.be/UHPpSVJD8mU?si…

#JKM
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

SEMINA YA IMANI✨ JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani Mada katika siku ya tatu itakuwa ni KATEKESI ENDELEVU na mzungumzaji atakuwa ni PD. DENIS WIGIRA 🗓️ 14 Februari 2025. ⏰ 11:30 - 1:00 Jioni. 📍Muhimbili - Parokiani. #JKMKuleananaKupendana

SEMINA YA IMANI✨

JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani

Mada  katika siku ya tatu itakuwa ni  KATEKESI ENDELEVU na mzungumzaji atakuwa ni PD. DENIS WIGIRA

🗓️ 14 Februari 2025.
⏰ 11:30 - 1:00 Jioni.
📍Muhimbili - Parokiani. 

#JKMKuleananaKupendana
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

TUMSIFU YESU KRISTO... JKM inatualika kushiriki katika ziara ya Matendo ya Huruma. Itakayofanyika 📆 APRIL 5, 2024, Jumamosi 📍LOCATION: Watoto Wetu Tanzania, Mbezi Luis Wote tunakaribishwa

TUMSIFU YESU KRISTO...

JKM inatualika  kushiriki katika  ziara ya Matendo ya Huruma. 

Itakayofanyika
📆 APRIL 5, 2024, Jumamosi 
📍LOCATION: Watoto Wetu Tanzania, Mbezi Luis

 Wote tunakaribishwa
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

💒Parokia ya Bikira Maria Salama ya wagonjwa-MUHIMBILI ✝️ MISA TAKATIFU YA KUOMBEA MUHULA MPYA WA MASOMO NA UCHAGUZI WA VIONGOZI JKM 🗓️Tarehe 9 Aprili 2025 Parokiani- Muhimbili ⏰▪️MUDA SAA 11:30 JIONI Pia tutakuwa na ripoti ya fedha kwa mwaka wa uongozi 2024/25. #mccjkm

💒Parokia ya Bikira Maria Salama ya wagonjwa-MUHIMBILI

✝️ MISA TAKATIFU YA KUOMBEA MUHULA MPYA WA MASOMO NA UCHAGUZI WA VIONGOZI JKM

🗓️Tarehe 9 Aprili 2025

Parokiani- Muhimbili 

⏰▪️MUDA SAA 11:30 JIONI
 
Pia tutakuwa na ripoti ya fedha kwa mwaka wa uongozi 2024/25.

#mccjkm
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

Tumsifu Yesu Kristo.... JKM.....JKM...... Pongezi kwa viongozi wateule wa kamati Kuu waliochaguliwa siku ya leo. Mwenyezi Mungu awatangulie na kuwasimamia katika utume huu. #JKmkuleananakupendana #JkmuaminifukatikaKristo

Tumsifu Yesu Kristo....
JKM.....JKM......

Pongezi kwa viongozi wateule wa kamati Kuu waliochaguliwa siku ya leo.

Mwenyezi Mungu awatangulie na kuwasimamia katika utume huu.

#JKmkuleananakupendana
#JkmuaminifukatikaKristo
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

TUMSIFU YESU KRISTO JKM kupitia Kamati ya Matendo ya huruma inatualika kushiriki katika ziara ya Matendo ya Huruma ya ndani ya hospitali ya Muhimbili Itakayofanyika Mei 17, Jumamosi Kuanzia saa 2:30 Asubuhi MAHALI : WODI ZA WAGONJWA WENYE MAGONJWA YA AFYA YA AKILI.

TUMSIFU YESU KRISTO
JKM kupitia Kamati ya Matendo ya huruma inatualika  kushiriki katika  ziara ya Matendo ya Huruma ya ndani ya hospitali ya Muhimbili 
Itakayofanyika
 Mei 17, Jumamosi
Kuanzia saa 2:30 Asubuhi
MAHALI : WODI ZA WAGONJWA WENYE MAGONJWA YA AFYA YA AKILI.
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

Jumuiya Katoliki Muhimbili inawakaribisha wanajumuiya wote kushiriki tukio la sala za pamoja kwa ajili ya kusali na kutafakari kwa pamoja kama wakristo tukiongozwa na mada isemayo; THE POWER OF UNMERITED GOD'S GRACE 🗓️ Ijumaa 23/05/2025 ⏰ 2000- 2300 Hrs 📍Parokia ya Msimbazi

Jumuiya Katoliki Muhimbili inawakaribisha wanajumuiya wote kushiriki tukio la sala za pamoja kwa ajili ya kusali na kutafakari kwa pamoja kama wakristo tukiongozwa na mada isemayo; THE POWER OF UNMERITED GOD'S GRACE

🗓️ Ijumaa 23/05/2025
⏰ 2000- 2300 Hrs
📍Parokia ya Msimbazi
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

TUMSIFU YESU KRISTO..😊 Jumuiya katoliki Muhimbili (JKM) imeandaa ziara ya matendo ya huruma. 🏚️NEW HOPE FOR GIRLS. 🗓️ Tarehe 21/06/2025. ⏰ Saa 3:00 Asubuhi. Changia LIPA NAMBA 9483436 JKM MAHITAJI: Mchele, unga wa sembe, Sukari, n.k Nyote mnakaribishwa.😊😊

TUMSIFU YESU KRISTO..😊

Jumuiya katoliki Muhimbili (JKM) imeandaa ziara ya matendo ya huruma.

🏚️NEW HOPE FOR GIRLS. 

🗓️ Tarehe 21/06/2025.

⏰ Saa 3:00 Asubuhi.
Changia LIPA NAMBA 9483436 JKM

MAHITAJI: Mchele, unga wa sembe, Sukari, n.k

Nyote mnakaribishwa.😊😊
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

LADIES AND GENTLEMEN🥳🥳 Praise be Jesus Christ... We are honoured to introduce DR. FREDRICK LYIMO, HEAD OF RADIOLOGY DEPARTMENT AT MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony. Plan to attend! #JKMgraduation2025 #Jkmkuleananakupendana

LADIES AND GENTLEMEN🥳🥳

Praise be Jesus Christ...

We are honoured to introduce DR. FREDRICK LYIMO, HEAD OF RADIOLOGY DEPARTMENT AT MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL  as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony.

Plan to attend!

#JKMgraduation2025
#Jkmkuleananakupendana
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

LADIES AND GENTLEMEN.🥳🥳 Praised be Jesus Christ... We are honoured to introduce DR. ALPHONCINA NANAI, WHO COUNTRY OFFICE TECHNICAL LEAD FOR NCDs as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony. 💫 Continuing Tsh.15,000/= 💫 Graduands Tsh.30,000/= #JKMgraduation2025

LADIES AND GENTLEMEN.🥳🥳

Praised be Jesus Christ...

We are honoured to introduce  DR. ALPHONCINA NANAI,
WHO COUNTRY OFFICE TECHNICAL LEAD FOR NCDs  as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony.

 💫 Continuing Tsh.15,000/=
💫 Graduands Tsh.30,000/=

#JKMgraduation2025
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

LADIES AND GENTLEMEN.🥳🥳 Praised be Jesus Christ... We are honoured to introduce PROF. ANDREA BARNABAS PEMBE, FORMER VICE CHANCELLOR, MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony. #JKMgraduation2025

LADIES AND GENTLEMEN.🥳🥳

Praised be Jesus Christ...

We are honoured to introduce PROF. ANDREA BARNABAS PEMBE, FORMER VICE CHANCELLOR, 
MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES  as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony.

#JKMgraduation2025
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI (@mccjkm) 's Twitter Profile Photo

DEAR MCC MEMBERS AND FRIENDS. Praised be Jesus Christ... We are honoured to introduce to you the Guest of honour on our graduation Ceremony. MS. MARSHA MACATTA-YAMBI, EXECUTIVE DIRECTOR OF THE UNITED NATIONS- GLOBAL COMPACT NETWORK TANZANIA (UNGCNT) #JKMgraduation2025

DEAR MCC MEMBERS AND FRIENDS.

Praised be Jesus Christ...

We are honoured to introduce to you the Guest of honour on our graduation Ceremony. 

MS. MARSHA MACATTA-YAMBI,
EXECUTIVE DIRECTOR OF THE UNITED NATIONS- 
GLOBAL COMPACT NETWORK TANZANIA (UNGCNT)

#JKMgraduation2025