Kassim Mbui🇰🇪
@mbuikassim
Radio Presenter | Producer.
Host | Entertainer | Creative.
Commentator |SokaAddict.
CEO|Mbuimedia DigitalEnt.
ID: 1397454596
http://www.mbuimediadigital.co.ke 02-05-2013 15:21:35
3,3K Tweet
2,2K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Kumekucha! #COCOASUBUHI is on! Nyanya Rukia na Joseph Marwa wapo site. #COCOASUBUHI #COCOFM #ladhayapwani
Kila kiongozi anaonekana kusimama na Gen--Z kunani? Karibu ndani ya #janjaruka254 #tbtedition . Unajanjaruka ukiwa wapi? Kassim Mbui🇰🇪 x Binti Umazi #KU #cocofm #ladhayapwani
"Mpenzi asiyekupa attention weekend ila ni mwingi wa mapenzi jumatatu jua unasukuma gurudumu tu" Binti Umazi Kassim Mbui🇰🇪 #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani #DeliveringthePlan
Mtu akikua widow then aolewe tena, bado ataitwa widow? #InternationalWidowsDay2025 #janjaruka254 Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi Elvis Baya Millie Kanazi Amigo NYOSH GATHU #Cocofm #ladhayapwani #KassimNaUmazi
Yani wakenya mnaiba hadi pesa ya matanga karibu ndani ya #janjaruka254 ukiwa na Kassim Mbui🇰🇪 Mbui na 'dadake' Binti Umazi #cocofm #ladhayapwani
Playing now #Merijaah by Mbosso #janjaruka254 Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi Elvis Baya Millie Kanazi Amigo NYOSH GATHU #Cocofm #ladhayapwani #KassimNaUmazi
Awamu ya pili #gumzokazini #afyatuesday leo tunaongelea maternal health #janjaruka254 Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi Elvis Baya Millie Kanazi Amigo NYOSH GATHU #Cocofm #ladhayapwani #KassimNaUmazi
"Kuvuja damu ukiwa mjamzito ni moja wapo ya dalili mbaya zinazosababisha vifo vya akina mama," Ken Miriti- Reprodective Health Doctor Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani
"Wanaume wengi hupenda wanawake ila tatizo ni kuwatunza" Binti Umazi #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani #thikaroad
Karibu tujanjaruke sote. Niite Kassim Mbui🇰🇪 nikiwa na mtoto wa kike mwenye mwanya Binti Umazi . Eti ukitaka kujua Siri za mpenzi wako gombana na rafiki yake ? 📷SMS line - 0104 111 000 📷Call line - 0723 989 989 📷WhatsApp - 0104 111 000 #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani
Mashemegi tumefikiwa,Hivi ni vibaya kumsifu mpoa wa rafiki yako ? Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani
GenZ wana umoja na hawana ukabila,twajifunza nini kutokana na maandamano ? Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi #janjaruka254 #cocofm #ladhayapwani
Mwezi huu ajali zimekuwa nyingi sana~ Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi #kassimnaumazi #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani