Mboni Mhita (@mboni_mhita) 's Twitter Profile
Mboni Mhita

@mboni_mhita

Member of Parliament- Handeni, Member of the Pan African Parliament, President of the Youth Caucas-Pan African Parliament,Youth activist, Girl child awareness.

ID: 4835697227

calendar_today22-01-2016 17:14:00

19 Tweet

566 Takipçi

84 Takip Edilen

Mboni Mhita (@mboni_mhita) 's Twitter Profile Photo

Kwa Mujibu wa Taarifa toka WHO- watoto milioni 30 walio chini ya umri wa miaka 5 hupoteza maisha kwa Magonjwa ambayo yangeweza kuzuilika kwa Chanjo- (VPD) Vaccine preventable disease.

Mboni Mhita (@mboni_mhita) 's Twitter Profile Photo

Violence against women and girls is a hidden global crisis which knows no boundaries of geography or culture. Speak out against it. Paza sauti

Mboni Mhita (@mboni_mhita) 's Twitter Profile Photo

Changamoto ya Maji Handeni ni kubwa. Waathirika wakubwa ni kina mama na Mabinti. Mabinti wanakosa muda wa kujisomea sababu wanautumia muda kusaka maji. Niishukuru Serikali kwa Hatua za Awali ambazo zinatupa matumaini Wana Handeni. Tunategemea utekelezaji wa Mradi kuanza Sep.

Mboni Mhita (@mboni_mhita) 's Twitter Profile Photo

Ni vyema kuepuka maneno au ugomvi na mtu alie shimoni, anaweza kukuvuta na kukuingiza pia shimoni. Ni vyema kuepuka. Huna cha kupoteza kwa kukaa kimya.

Mboni Mhita (@mboni_mhita) 's Twitter Profile Photo

ANC youths happy and excited about H.E John Joseph Pombe Magufuli's visit to SA for the Inauguration ceremony of H.E C Ramaphosa.

Mtandao wa Elimu TZ (@ten_met) 's Twitter Profile Photo

"Natamani siku kuona Handeni ikiwa mfano mzuri katika ubora wa elimu na iwe mfano wa kuigwa…" Mh Mboni Mhita #GAWE2019 #ElimuBoraHakiYangu #TupoHandeni

"Natamani siku kuona Handeni ikiwa mfano mzuri katika ubora wa elimu na iwe mfano wa kuigwa…"
Mh <a href="/mboni_mhita/">Mboni Mhita</a> 

#GAWE2019 #ElimuBoraHakiYangu #TupoHandeni