Mbaruk Mwalimu
@mbarukmwalimu
Award winning Radio Host.
@Radio47Ke Nairobi, Kenya. Creative |MC |Film producer & Director |Voice over artist. views are usually my own. #BillyNaMbaruk #MUFC
ID:2353124903
http://Twitch.com/Radio47 19-02-2014 19:29:28
51,7K Tweets
25,7K Followers
1,0K Following
Stephen Bhingi: 'Rastafarians don't die.' #BillyNaMbaruk #HapaNdipo Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Happy NEW MONTH! 1,05,2024! Na hii mwaka inaenda mbio sana... karibu ifike Christmass tupike Chapati na Kuku tena😂. #HapaNdipo #BillyNaMbaruk
Billy Miya Mbaruk Mwalimu Mr Iyan.
Je, unadhani Arsenal itaweza kubeba alama tatu dhidi ya Manchester City Jumapili hii? Billy Miya Mbaruk Mwalimu Ali Kauleni Hassan #Radio47FunFriday
Governor Andrew Mwadime, 'Sipingi kile Waziri Kithure Kindiki alisema. Mimi nimesema kwamba baa zinazoendeshwa na wale ambao hawajatekeleza sheria na wale wanaouza pombe haramu zifungwe.' #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu Mr Iyan.
Ali Kauleni Hassan: 'Kesi inayokumba timu za Chelsea na Manchester City inaweza wafanya wakuwe relegated, kwa sababu kesi zao ni nzito sana.' #Radio47FunFriday
Ali Kauleni Hassan @Billymiya Mbaruk Mwalimu
Je, unadhani kuna uwezekano wa Arsenal kubeba EPL?
Billy Miya Mbaruk Mwalimu luckyherriano
#BillyNaMbaruk #HapaNdipo
NAKURUUUUU ARE YOU READY! Jumamosi hii. Saturday 23,03,2024, njoo ujiunge nasi kwenye NURU YA MWANAMKE ndani ya PAG Langalanga Church, Pangani Estate Nakuru kuanzia 10am-12pm.
@evahmwalili atakuwepo pamoja na Mrs Adenya, Mrs Ng'ang'a na Rev Waithaka. #HapaNdipo
Yesu wa Tongaren: 'Nikiwa na miaka kumi, malaika wa Mungu walikua wanakuja kunisalimia.' #HapaNdipo #BillyNaMbaruk Billy Miya Mbaruk Mwalimu