PATRICK CHESA MATINI (@matinichesa) 's Twitter Profile
PATRICK CHESA MATINI

@matinichesa

Polite and humble. The race of life is not measured by the humbleness of your start,but by the greatness of your finish!

ID: 3346347621

calendar_today26-06-2015 10:07:14

2,2K Tweet

173 Followers

626 Following

PATRICK CHESA MATINI (@matinichesa) 's Twitter Profile Photo

Nimerudi tena Radio Citizen Mike The Dj Kenya angusha Tafuta utapata(Kalembi kajos) Simaro Massiya Litumba ft Le Bana OK #RhumbaRaha niburudike na mke wangu Irene Watenya na wanangu Fidel Johnson na Aiden Mark hapa Huruma Nrb!

PATRICK CHESA MATINI (@matinichesa) 's Twitter Profile Photo

#JamboKenya na MelodySinzore1 Vincent Ateya niko ndani! #TrueStory Huyo jamaa bado atarudi huko gerezani kwa kuwa amezoea kushikwa! Halafu pia aangalie background ya kwao na amrudie Mungu avunje hayo madhebahu mabaya ya kwao! Kuna mtu anasukuma na sio yeye!

PATRICK CHESA MATINI (@matinichesa) 's Twitter Profile Photo

Niko ndani ya Radio Citizen nikiwa na mke wangu Irene Watenya,Huruma Nrb! This cold is threatening my virginity please help me God 🤣! Angusha Maseke ya Meme ya Bavon Marie Marie. #CitizenExpress hadi cheeeeeeeee

LANDLORD🇰🇪 (@bozgabi) 's Twitter Profile Photo

LET THE WORLD KNOW WHY WE ARE DEMANDING THE RESIGNATION OF MR RUTO FROM POWER. if you see this video kindly retweet widely. #RutoMustGo