Daud (@mathiasdaud751) 's Twitter Profile
Daud

@mathiasdaud751

Farmer&Agribusinessman

ID: 1762067844529893376

calendar_today26-02-2024 10:51:54

862 Tweet

177 Takipรงi

871 Takip Edilen

Daud (@mathiasdaud751) 's Twitter Profile Photo

Katika vitu vinatukwamisha wakulima wa nchi hii ni mindset ya kibiashara.Mungu anakupa upendeleo wa kuvuna mapema(kipindi ambacho products zinakuwa chache mtaani) bei inakuwa nzuri,badala uuze ili wengi wakivuna bei ikashuka ununue wewe unaweka store usubiri bei ipande ๐Ÿ˜€

Mwaka huu serikali ikaamua tu kufungua mipaka,ikafanya fair competition na wanunuzi wengine kwenye zao la mahindi,ikatoa vibali kwa wakati na bila conditions za kumuua mfanyabiashara..ikaweka price ceiling ya maana. Niamini Mimi,wakulima hawatawasahau kwa pesa watakazopata

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Salaam Ndugu Zangu, Mtakumbuka kuwa Serikali, kupitia kauli yake rasmi iliyotolewa Bungeni, imeanzisha Programu ya BBT Borelhole - ya kuchimba visima 62,000 kwa ajili ya kuwawezesha wakulima wadogo nchini. Visima hivi vitahudumia zaidi ya hekta milioni 2.2 kwa kipindi cha miaka

Salaam Ndugu Zangu,

Mtakumbuka kuwa Serikali, kupitia kauli yake rasmi iliyotolewa Bungeni, imeanzisha Programu ya BBT Borelhole - ya kuchimba visima 62,000 kwa ajili ya kuwawezesha wakulima wadogo nchini. Visima hivi vitahudumia zaidi ya hekta milioni 2.2 kwa kipindi cha miaka
Mponda Sabinus (@mpondasabinus) 's Twitter Profile Photo

Hizi changamoto anapitia Mkulima Daud mahindi yake kuoza uko Madaba Songea kutokana na mvua kuendelea kunyesha izi changamoto mdau wa kilimo hawezi kukuambia hizi utaambiwa na field tu.

Hizi changamoto anapitia Mkulima <a href="/mathiasdaud751/">Daud</a> mahindi yake kuoza uko Madaba Songea kutokana na mvua kuendelea kunyesha izi changamoto mdau wa kilimo hawezi kukuambia hizi utaambiwa na field tu.
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@msakufarm) 's Twitter Profile Photo

Hii aina ya muhogo ijulikanayo kwa jina la CHEUPE. Shambani utaiweka kwa miezi 4 tu,ndio mihogo inayopendwa kwa sasa kwakua ni milaini na inaivaa kwa haraka ambayo imeiteka Soko la Dar. Mche mmoja hutoa wastani wa kilo 8 hadi 15. Na ekari moja utaingiza wastani wa miche 1778.

Hii aina ya muhogo ijulikanayo kwa jina la CHEUPE. 
Shambani utaiweka kwa miezi 4 tu,ndio mihogo inayopendwa kwa sasa kwakua ni milaini na inaivaa kwa haraka ambayo imeiteka Soko la Dar. 
Mche mmoja hutoa wastani wa kilo 8 hadi 15.
Na ekari moja utaingiza wastani wa miche 1778.
Daud (@mathiasdaud751) 's Twitter Profile Photo

Dar wana tandale,songea-msamala,Dodoma-kibaigwa,njombe-makambako,mbeya-igagala,songwe-tunduma,mkoa wako soko lenu la nafaka linaitwaje?

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

#BajetiYaWakulima Kila kitu ni mipango, utekelezaji na usimamizi. Tunaendelea kufanyia kazi changamoto mbali mbali na kuboresha mifumo, lakini mapinduzi kwenye sekta ya kilimo yanawezekana, na yanaonekana.