M K (@marrykayoa) 's Twitter Profile
M K

@marrykayoa

Allah Akbar:Mjasilia mali,mpishi(mapishi mbalimbali) ๐Ÿ’–๐Ÿ’“

ID: 1140989925220917248

calendar_today18-06-2019 14:29:31

33,33K Tweet

10,10K Takipรงi

4,4K Takip Edilen

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

"Katika kujenga Taifa linalo jitegemea, hatutafika huko mpaka kila kijana awe na shughuli inayompa kipato. Yeye mwenyewe asimame kama mtu mmoja ajitegemee halafu kwa ujumla wetu tunaweza kujitegemea. Na hii ndio kazi tunayoendelea kuifanya. Kuandaa mazingira kwa vijana wetu, kwa

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Ajira, Vijana na Viwanda: Dira ya CCM 2025โ€“2030 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi wa mwaka 2025 imeweka vipaumbele vinavyolenga kubadilisha sura ya uchumi wa Tanzania katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Miongoni mwa maeneo yaliyopewa kipaumbele ni ajira, vijana

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Leo, mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) yupo mkoani Mtwara katika muendelezo wa kampeni zake za uchaguzi. Zao la korosho ni miongoni mwa mazao muhimu kiuchumi mkoani Mtwara, likichangia takribani asilimia 25 ya Pato la Taifa. Zao hili linazalishwa kwa wingi

Leo, mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) yupo mkoani Mtwara katika muendelezo wa kampeni zake za uchaguzi.

Zao la korosho ni miongoni mwa mazao muhimu kiuchumi mkoani Mtwara, likichangia takribani asilimia 25 ya Pato la Taifa. Zao hili linazalishwa kwa wingi
Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

MV Mwanza Urefu: Takriban 93 mita Upana: 17โ€“20 mita Urefu wa juu: 20 mita Uzito: Karibu tani 3,500 Uwezo wa kubeba: Abiria: 1,200 Mizigo: 400 tani Magari madogo: 20 Malori makubwa: 3 Ajira: Mradi huu umetengeneza ajira 2,000. Mradi mzuri ๐Ÿ‘

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

SGR ya Tanzania: Mwanzo Imara, Ukuaji wa Haraka na Hatma Yake Tangu izinduliwe katikati ya mwaka 2024, Reli ya Kisasa ya Tanzania (SGR) imeanza kwa kishindo. Kufikia Novemba 2024, miezi michache tu baada ya kuanza safari zake, ilikuwa tayari imebeba *abiria zaidi ya milioni 1.1.

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Safwan Bashundhara Group (SBG), Dar es Salaam imetajwa kuwa jiji la nne duniani miongoni mwa majiji makubwa (megacities) yenye miundombinu janja (intelligent infrastructure). Mimi, kama raia na mfuatiliaji wa masuala ya maendeleo, nimeona ni

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

SEKTA YA UTALII TANZANIA Leo Mheshimiwa Rais yupo Arusha โ€“ jiji ambalo ndilo kitovu cha utalii wa Tanzania. Hivyo nimeona nichukue fursa hii kuzungumzia kidogo mwenendo wa sekta hii muhimu katika miaka ya hivi karibuni. Katika kipindi cha uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan cha

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Ukuaji wa Mauzo ya Nje ya Tanzania Chini ya Marais Mbalimbali (1995-2023) Sekta ya mauzo ya nje ya Tanzania imepitia mabadiliko makubwa katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita, huku kila rais akiacha alama yake katika mwenendo wa biashara ya taifa. Benjamin Mkapa alipoingia

Ukuaji wa Mauzo ya Nje ya Tanzania Chini ya Marais Mbalimbali (1995-2023)

Sekta ya mauzo ya nje ya Tanzania imepitia mabadiliko makubwa katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita, huku kila rais akiacha alama yake katika mwenendo wa biashara ya taifa.

Benjamin Mkapa alipoingia
Nyamandenge Magufuli (@nellynyamandege) 's Twitter Profile Photo

Amnesty International through its Nairobi offices has been paying activists and journalists in the region such as The Kenyan Vigilante and other activists to attack governments in East African and soil the seeds of chaos in the region all in the guise of human rights activism. Here is a thread ๐Ÿงต

<a href="/amnesty/">Amnesty International</a> through its Nairobi offices has been paying activists and journalists in the region such as <a href="/KenyanSays/">The Kenyan Vigilante</a> and other activists to attack governments in East African and soil the seeds of chaos in the region all in the guise of human rights activism. Here is a thread ๐Ÿงต
M K (@marrykayoa) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia ameweka msukumo mpya kwenye sekta ya utalii na kuifanya Tanzania kuvutia zaidi duniani. ๐Ÿ˜๐ŸŒ„

M K (@marrykayoa) 's Twitter Profile Photo

Tusikubali wahuni kama Nyakundi ambao wamefanikiwa kumchafua nchi zao waje watuchafulie na sisi. Kwa pamoja tuseme #TunatakaAmani