MamyBaby (@mamybabytz) 's Twitter Profile
MamyBaby

@mamybabytz

Radio Personality | Clouds Fm

ID: 1264605074359234561

calendar_today24-05-2020 17:12:13

20 Tweet

1,1K Takipçi

19 Takip Edilen

MamyBaby (@mamybabytz) 's Twitter Profile Photo

Uyu anaejiita "nguvu edward" ndo amechukua account yangu. Kutoka "mamibabie" Yani kuna watu wana mijiroho ya ajabu! Na Mungu atakuumbua! Kama unai"follow" unaeza uka"unfollow" tu . Now niko hapa kwa hii MamyBaby Thanks!!!

Uyu anaejiita "nguvu edward" ndo amechukua account yangu. Kutoka "mamibabie"  Yani kuna watu wana mijiroho ya ajabu! Na Mungu atakuumbua! 
Kama unai"follow" unaeza uka"unfollow" tu . Now niko hapa kwa hii <a href="/MamyBabyTz/">MamyBaby</a> Thanks!!!
Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile Photo

Wakina MamyBaby na KenedyTheRemedy 🇹🇿 walipomuuliza kuhusu muziki wa zamani kutolipa kama sasa hivi Master J alisema siku moja kwa macho yake aliwahi kushuhudia msanii akichukua advance (Malipo ya awali) Milion 200 alipopeleka album kwa Mhindi, kiasi ambacho sio tu kwa zama zile

Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile Photo

'Usinifokee ilitokana na demo ya wimbo wa TENA, mwanzo kwenye intro nilisema 'Hii ngoma ni kama nawafokea' kwenye Comments wakasema usitufoke,MamyBaby ndie alieboost huu usemi siku nilipouachia huu wimbo hapa XXL' - Baba Levo LIVE on XXL.

Ben Pol (@iambenpol) 's Twitter Profile Photo

#Walimwengu Tuko No. 6 weekend hii kupitia #CloudsfmTop20 na @mamybabytz Asante sana kwa upendo na support ✊🏾 #Godbless Wiki hii tutayajenga In Shaa Allah 🙏🏾💙. instagram.com/p/CHnE8CCnMn8/…

MamyBaby (@mamybabytz) 's Twitter Profile Photo

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, JANJARO🔥 Dogo Janja ameachia albamu yake inayoitwa #AsanteMama ,exclusively kupitia app namba moja ya muziki @boomplaymusic_tz Tembelea app ya Boomplay hivi sasa ili uweze kupakua na kusikiliza . #BoomplayAsanteMama

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, JANJARO🔥 <a href="/dogojanjatz/">Dogo Janja</a> ameachia albamu yake inayoitwa #AsanteMama ,exclusively kupitia app namba moja ya muziki @boomplaymusic_tz

Tembelea app ya Boomplay hivi sasa ili uweze kupakua na kusikiliza .
#BoomplayAsanteMama
Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

'Tu vitu tudogo tudogo twa kuchukua kama Artist. Ule wimbo wako ambao tumeuskia sana kwa radio, inapokuja perfomance unaeza kutupa version ingine kama hii 'kilometre" ilivoongezwa vionjo apo. ebu muwe mnatu'surprise kwenye show zenu jamani show zenu tumezikariri” -MamyBaby