Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile
Mama yuko Kazini

@mamayukokazini

#mamayukokazini

ID: 1281651489593798658

linkhttp://mamayukokazini.com calendar_today10-07-2020 18:08:40

7,7K Tweet

13,13K Takipçi

5 Takip Edilen

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Katiba ya nchi yetu inalinda haki ya wananchi kupata habari. MAMA anaweka mazingira rafiki kufanikisha hilo. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

#TikiKwaSamia 

Katiba ya nchi yetu inalinda haki ya wananchi kupata habari.

MAMA anaweka mazingira rafiki kufanikisha hilo. 

#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Tafasiri ya kiwanda hiki kwa wananchi wa Simiyu; Ajira zaidi ya 400. Uharaka wa upatikanaji bidhaa. Tija kwenye kilimo. Ukuzaji wa uchumi. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Tafasiri ya kiwanda hiki kwa wananchi wa Simiyu;

Ajira zaidi ya 400.

Uharaka wa upatikanaji bidhaa.

Tija kwenye kilimo.

Ukuzaji wa uchumi. 

#MamaYukoKazini 
#TikiKwaSamia 
#KaziNaUtuTunasongaMbele  
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

📍 Shule ya Wasichana ya Sayansi, Simiyu Zinajengwa kila mkoa. Moja ya mikakati ya Mama katika kumwinua na kumlinda mtoto wa kike. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

📍 Shule ya Wasichana ya Sayansi, Simiyu

Zinajengwa kila mkoa.

Moja ya mikakati ya Mama katika kumwinua na kumlinda mtoto wa kike. 

#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Haya ni matokeo ya kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

#TikiKwaSamia

Haya ni matokeo ya kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji.

#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika. Siku hii muhimu inatukumbusha wajibu wetu kama wazazi na viongozi wa kujenga jamii na taifa bora ambalo litamwezesha kila mtoto kukua na kuzifikia ndoto zake. Kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kutunga na kutekeleza mipango na

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika.

Siku hii muhimu inatukumbusha wajibu wetu kama wazazi na viongozi wa kujenga jamii na taifa bora ambalo litamwezesha kila mtoto kukua na kuzifikia ndoto zake. 

Kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kutunga na kutekeleza mipango na
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Ameshuka kwa wananchi kuwasikiliza na kuwaeleza mipango ya serikali yao katika kuwaletea maendeleo. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

#TikiKwaSamia

Ameshuka kwa wananchi kuwasikiliza na kuwaeleza mipango ya serikali yao katika kuwaletea maendeleo.

#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu nzuri ya kazi na wananchi Simiyu, ikiwa ni siku ya pili ya ziara yangu ya kikazi mkoani hapa nikizungumza na wananchi na kujionea hatua kubwa za maendeleo tunazoendelea kupiga kwa pamoja. Sehemu ya mafanikio haya hapa Simiyu ni Kiwanda cha Mabomba na Kiwanda cha

Jumatatu nzuri ya kazi na wananchi Simiyu, ikiwa ni siku ya pili ya ziara yangu ya kikazi mkoani hapa nikizungumza na wananchi na kujionea hatua kubwa za maendeleo tunazoendelea kupiga kwa pamoja. Sehemu ya mafanikio haya hapa Simiyu ni Kiwanda cha Mabomba na Kiwanda cha
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Simiyu haina jambo dogo na MAMA. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Wajasiriamali na wafanyabiashara, Mama anawalinda. Kazi kwenu. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

#TikiKwaSamia 

Wajasiriamali na wafanyabiashara, Mama anawalinda. Kazi kwenu.

#MamaYukoKazini 
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Lengo letu kilimo kikue kwa 10% ifikapo mwaka 2030. Hii ni sehemu ya mikakati ya kufikia lengo hilo kwa manufaa yetu. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

#TikiKwaSamia 

 Lengo letu kilimo kikue kwa 10% ifikapo mwaka 2030.

Hii ni sehemu ya mikakati ya kufikia lengo hilo kwa manufaa yetu.

#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Ahsanteni Meatu. Upendo wenu kwa Mama umeonekana. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

#TikiKwaSamia

Ahsanteni Meatu.

Upendo wenu kwa Mama umeonekana.

#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Meatu ya Mama inasonga mbele Imepata kiwanda kipya cha kuchakata pamba ambacho ni soko la uhakika kwa wakulima, ajira kwa wananchi pia ni utekelezaji wa Ilani ya CCM (2020-2025). #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Meatu ya Mama inasonga mbele

Imepata kiwanda kipya cha kuchakata pamba ambacho ni soko la uhakika kwa wakulima, ajira kwa wananchi pia ni utekelezaji wa Ilani ya CCM (2020-2025).

#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Anavutia uwekezaji. Anakuza uchumi wetu. Anagusa maisha ya wananchi. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi. Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. Katika kipindi

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi.

Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. 

Katika kipindi