MALENGO (@malengoo) 's Twitter Profile
MALENGO

@malengoo

DOCTOR OF FOOTBALL ⚽.

ID: 1391479118215237632

calendar_today09-05-2021 19:44:35

84,84K Tweet

44,44K Followers

3,3K Following

MALENGO (@malengoo) 's Twitter Profile Photo

Akili kubwa sana ya uzuiaji,akili kubwa sana ya ushambuliaji,on the ball na off the ball huyu kijana ni pure talented Paschal msindo

Akili kubwa sana ya uzuiaji,akili kubwa sana ya ushambuliaji,on the ball na off the ball  huyu kijana ni pure talented 

Paschal msindo
MALENGO (@malengoo) 's Twitter Profile Photo

Faul aliyo piga mwenda kafanya vitu viwili kwa usahihi 1-kuvusha mpira kwenye ukuta kwa usahihi(vipimo sahihi)🔥 2-Target na Kasi sahihi ya mpira🔥

Faul aliyo piga mwenda kafanya vitu viwili kwa usahihi 
1-kuvusha mpira kwenye ukuta kwa usahihi(vipimo sahihi)🔥
2-Target na Kasi sahihi ya mpira🔥
MALENGO (@malengoo) 's Twitter Profile Photo

Pacome zouzoua dakika 90 assist 2,Nadhani hii ndo ilikua sumu haswa kwa shape ya ulinzi wa nyuki wa Tabora passing game yake bora sana, on na off the ball Amekua bora sana,maamuzi yake yamekua sahihi sana ni kama honey badger kwenye mzinga wa nyuki anaramba tu🔥😂

Mechi ya Jana Khalid Aucho hakua sehemu ya mchezo kutokana na majeraha,Hakuna shaka dimba lilishikwa na huyu Mkenya Duke Abuya, Nadhani timu ilikua salama pia chini ya ulinzi wake🔥🙌

Mechi ya Jana Khalid Aucho hakua sehemu ya mchezo kutokana na majeraha,Hakuna shaka dimba lilishikwa na huyu Mkenya Duke Abuya,
Nadhani timu ilikua salama pia chini ya ulinzi wake🔥🙌
MALENGO (@malengoo) 's Twitter Profile Photo

Hii ni engine ya team anavyo taka ndo inavyo kua yanga bila Aucho nikama gari bila engine.kipindi cha kwanza team ilionekana kua na Utulivu sana eneo la kiungo The tank🙌

Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

Yanga Sc watakuwa na makosa yao lakini hayawezi kuyafikia ya TFF kuna weza kuwa na pointi ya wao kupata favour kwenye mamlaka but hiyo haiondoi kuwa TFF kumeoza, Yanga Sc wagomee mechi kama itatoka adhabu basi itakuwa mwisho wa busara kwenye ligi yetu kifupi Yanga wapo sahihi🤝