Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile
Paul_Makubi

@makubi_pol

MA Economics | Investor | Financial expert
๐Ÿ“ˆ | Data Analyst

Author =3 Books, (1)Dunia ya Mikopo na Riba

ID: 1271789071

linkhttp://wa.me/255743028952 calendar_today16-03-2013 08:30:34

2,2K Tweet

11,11K Takipรงi

438 Takip Edilen

Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—จ๐—ช๐—˜๐—ž๐—˜๐—ญ๐—”๐—๐—œ Fikiria Una mill 200 na unataka kuwekeza na kuchukua mkopo wa mill 300-1B baadae Wekeza hapa. 1. ๐—ž๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐—ถ Machine 1 ni (mill 23+installation) Tazama summary nilizoanda Namba 5 itakushangaza ๐Ÿคซ UZI ๐Ÿ”ฅ

๐—จ๐—ช๐—˜๐—ž๐—˜๐—ญ๐—”๐—๐—œ

Fikiria

Una mill 200 na unataka kuwekeza na kuchukua mkopo wa mill 300-1B baadae

Wekeza hapa.

1. ๐—ž๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐—ถ
Machine 1 ni (mill 23+installation)

Tazama summary nilizoanda
Namba 5 itakushangaza ๐Ÿคซ

 UZI ๐Ÿ”ฅ
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—จ๐—๐—จ๐—œ? CRDB BANK PLC NMB BANK PLC VODACOM PLC N.k Maana ya PLC (Public Limited Company) Yaani ni kampuni ambazo Hisa zake zipo wazi katika Soko la Hisa (DSE) na mtu yoyote anaruhusiwa kununua au kuuza hisa hizo.

Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

JE ITAWEZEKANA? BRICS+walikubaliana kutumia fedha za nchi husika kufanya biashara Fikiria Fedha ya Ethiopia (birr), haikubariki sokoni ๐Ÿคซ, sasa Ethiopia akitrade na Russia Inamaana Russia atakuwa na stock kubwa ya fedha ya ethiopia ambayo haina uhitaji Hili ni Tatizo.

JE ITAWEZEKANA?

BRICS+walikubaliana kutumia fedha za nchi husika kufanya biashara

Fikiria

Fedha ya Ethiopia (birr), haikubariki sokoni ๐Ÿคซ,  sasa Ethiopia akitrade na Russia

Inamaana Russia atakuwa na stock kubwa ya fedha ya ethiopia ambayo haina uhitaji

Hili ni Tatizo.
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—œ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ฃ๐——๐—™ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐— ๐—•๐—ข ๐Ÿฒ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—ข๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—ง๐—ญ (๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ) ๐—›๐—œ๐—œ ๐—›๐—”๐—ฃ๐—” TAHADHARI. Nakutumia sasa hivi, ila hakikisha. 1. Umenifollow 2. Repost 3. Comment "2025" Halafu angalia Inbox yako โณ

๐—œ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ฃ๐——๐—™ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐— ๐—•๐—ข ๐Ÿฒ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—ข๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—ง๐—ญ (๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ) ๐—›๐—œ๐—œ ๐—›๐—”๐—ฃ๐—”

TAHADHARI.

Nakutumia sasa hivi, ila hakikisha.

1. Umenifollow
2. Repost
3. Comment "2025"

Halafu angalia Inbox yako โณ
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—›๐—œ๐—œ ๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” Hakikisha una MTAJI WA KUTOSHA Miezi ya mwanzo, biashara nyingi zinaendeshwa kwa hasara. Unapopanga bajeti, running costs weka mwezi 1-6(max) After that, the revenue generated should cover running costs and fixed costs at minimum ๐Ÿ“Œ

๐—›๐—œ๐—œ ๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”

Hakikisha una MTAJI WA KUTOSHA

Miezi ya mwanzo, biashara nyingi zinaendeshwa kwa hasara.

Unapopanga bajeti, running costs weka mwezi 1-6(max)

After that, the revenue generated should cover running costs and fixed costs at minimum
๐Ÿ“Œ
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐—›๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—”๐—•๐—Ÿ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—˜๐—ž๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ง๐—˜ Saikolojia ya uwekezaji ni fikra flani kuhusu mwenendo wa soko Mbinu za uwekezaji ni kitendo cha kutumia saikolojia ya uwekezaji Zingatia haya kuwekeza 1. Risk 2. Tax 3. Time 3. Return Nikufundishe nini?

๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐—›๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—”๐—•๐—Ÿ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—˜๐—ž๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ง๐—˜

Saikolojia ya uwekezaji ni fikra flani kuhusu mwenendo wa soko

Mbinu za uwekezaji ni kitendo cha kutumia saikolojia ya uwekezaji

Zingatia haya kuwekeza

1. Risk
2. Tax
3. Time
3. Return
Nikufundishe nini?
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—›๐—”๐—จ๐—ง๐—”๐—™๐—จ๐—ก๐——๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ช๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—›๐—œ๐—œ ๐— ๐—•๐—œ๐—ก๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”. Biashara yako inapaswa kuwa hivi 1 kukupa Faida 2 Kujiendesha 3 Kukidhi mahitaji yako Je ni mbinu au philosophy gani utatumia? 1. Usijiulize nifanye biashara gani bali watu wanataka vitu gani

๐—›๐—”๐—จ๐—ง๐—”๐—™๐—จ๐—ก๐——๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ช๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ง๐—˜  ๐—›๐—œ๐—œ ๐— ๐—•๐—œ๐—ก๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”.

Biashara yako inapaswa kuwa hivi

1 kukupa Faida
2 Kujiendesha
3 Kukidhi mahitaji yako

Je ni mbinu au philosophy gani utatumia?

1. Usijiulize nifanye biashara gani bali watu wanataka vitu gani
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—๐—ฒ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ฝ๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ?? Mozambique kwa sasa kuna Uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hasa USD Blackmarket ya USD inakuwa kwa kasi sana. Tz na Msumbiji ni majirani, hili linaweza kutuathiri pia. Bank of Tanzania nadhani ni muda mzuri wa kuweka mikakati.

๐—๐—ฒ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ฝ๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ??

Mozambique kwa sasa kuna Uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hasa USD

Blackmarket ya USD inakuwa kwa kasi sana.

Tz na Msumbiji ni majirani, hili linaweza kutuathiri pia.

<a href="/BankOfTanzania/">Bank of Tanzania</a> nadhani ni muda mzuri wa kuweka mikakati.
Grok (@grok) 's Twitter Profile Photo

Paul_Makubi Bank of Tanzania Tanzania inaweza kuepuka uhaba wa dola kama wa Mozambique kwa kuimarisha sera za kiuchumi na uwekezaji wa nje. Mila ya nje ya USD bilioni 5.45 inasaidia utulivu wa shilingi. Sheria mpya za kutumia shilingi ndani zinapunguza mahitaji ya dola. Uchaguzi wa Oktoba 2025 unaweza

Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

Mimi ningekuwa waziri Hussein M Bashe Ningeshauri GDP inakadiriwa kufika USD billion 83 mwaka huu Kuliko kufanya Total ban 1. Ningeongeza Ushuru 500% wa bidhaa na Transit zinazopita Tanzania 2. Ruzuku kwa biashara za wazawa zitafute masoko UAE 3.Kuongeza ubora wa bidhaa

Mimi ningekuwa waziri <a href="/HusseinBashe/">Hussein M Bashe</a>

Ningeshauri

GDP inakadiriwa kufika USD  billion 83 mwaka huu

Kuliko kufanya Total ban

1.  Ningeongeza Ushuru 500% wa bidhaa na Transit zinazopita Tanzania

2. Ruzuku kwa biashara za wazawa zitafute masoko UAE

3.Kuongeza ubora wa bidhaa
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—ช๐—”๐—›๐—œ๐—ก๐——๐—œ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—ฒ ๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ต๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ญ๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜‚๐˜‡๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ Hii pdf ina kurasa 6 ๐Ÿ”ฅ Nakutumia sasa hivi inbox kwako Hakikisha 1. Umenifollow 2.Repost 3. Comment "Done"

๐—ช๐—”๐—›๐—œ๐—ก๐——๐—œ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—ฒ ๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ต๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ญ๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜‚๐˜‡๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ

Hii pdf ina kurasa 6 ๐Ÿ”ฅ

Nakutumia sasa hivi inbox kwako
Hakikisha

1. Umenifollow
2.Repost 
3. Comment "Done"
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—›๐—ฎ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—ถ? ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐˜„๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—ณ๐—ฒ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐˜‚ Saikolojia ya uwekezaji ni sawa kwa kila binadamu Ukitaka kuwekeza elewa kuhusu 1. Risk-hatari 2. Tax-kodi 3. Return-Faida 4.Time-Muda 5.Portfolio

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—›๐—ฎ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—ถ? ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐˜„๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—ณ๐—ฒ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐˜‚

Saikolojia ya uwekezaji ni sawa kwa kila binadamu

Ukitaka kuwekeza elewa kuhusu

1. Risk-hatari
2. Tax-kodi
3. Return-Faida
4.Time-Muda
5.Portfolio