Paul Christian Makonda (@makonda_paul) 's Twitter Profile
Paul Christian Makonda

@makonda_paul

Politician,Former Dar Es Salaam Regional Commissioner #CCMDieHardMember #BabaKeagan #FamilyMan. Dar es Salaam, Tanzania

ID: 1208829386771836928

calendar_today22-12-2019 19:22:09

57 Tweet

29,29K Followers

17 Following

Paul Christian Makonda (@makonda_paul) 's Twitter Profile Photo

Wakati tunaendeleza mapambano na #Covid19 natoa wito kwa Watalaam,Wadau wa Afya pamoja na wakazi wa Jiji la DSM kutoa maoni na ushauri wa jinsi ya kuendeleza vita hii dhidi ya #Coronavirus. Hii vita ni yetu sote #TutashindaPamoja #StaySafe

Kwa takwimu alizopelekewa Mh.Mbowe nafikiri ndizo zilizokuwa na Samples za Fenesi, Papaya na Mbuzi. Tuendelee kutafakari. #StaySafe #TakePrecautions #WorkHarder

Paul Christian Makonda (@makonda_paul) 's Twitter Profile Photo

Natafahamu tuna changamoto ya upatikanaji wa Sukari kwenye Mkoa wetu.Serikali inashughulikia swala hili kwa umakini mkubwa na ndani ya siku mbili zijazo tutatoa suruhisho la kadhia hii. #StaySafe #TakePrecautions #COVID19

Paul Christian Makonda (@makonda_paul) 's Twitter Profile Photo

Happy Eid to all my Muslim Brothers and Sisters in DSM and all over the world #Eidmubarak2020 #TakePrecautions #Partyandcelebrate #StaySafe

Kwa unyenyekevu mkubwa, Leo nimechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge jimbo la kigamboni. Kama mlivyokuwa nami katika SALA na DUA siku zote za utumishi wangu, Naomba muendelee kuniombea ili mapenzi ya Mwenyezi Mungu yatimizwe.

Mimi ni mmoja wa vijana tulionufaika na Maisha yako hapa Duniani, Pumzika kwa Amani huku ukitambua ulipanda Mbegu njema maishani mwangu. REST IN ETERNAL PEACE BABA.