Muda wa kutembea kimakundi kama westlife au Twanga Pepeta ndo huu sasa!!! Kukamatwa muda wowote kama kuku wa pasaka ndo huu sasa!!, Kutembea kikundi kama Konde Gang 😂😂😂
Good morning familia 🙌
Ambao mnakuza familia ya X naomba handle zenu hapa Chini tuinuke ..
Comment username yako
Like username zote za post hii
MTU aki like username yako mfollow
Wakikufollow followback tukue pamoja 🙏
Muda mwingine tunashindwa kufanikiwa kwa sababu ya manung'uniko ya wanawake wanaomwaga machozi juu yetu bila hatia na kama haitoshi tabia ya kubadili wanawake inaweza kukuletea shida hata kiroho.
BAKI NA UYO UYO MMJA ANATOSHA SANA.✌️✌️