Abuuabdillah (@mahusianoseason) 's Twitter Profile
Abuuabdillah

@mahusianoseason

Poet/Author/Relations Counsellor,

KIMWERI RICE ladha halisi lishe kamili.
[email protected]

ID: 3098690559

calendar_today20-03-2015 08:45:33

15,15K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Abuuabdillah (@mahusianoseason) 's Twitter Profile Photo

Mahusiano mengine yemekufa muda mrefu. Hakuna malengo ya siku zijazo, hakuna hamu/shauku zaidi. Hisia , michezo, utani, umbea, kufinyana.  Na sababu ya kuwepo mapenzi inaonekana imetoweka.  Watu wawili wanaishi, kwa mazoea au unafuu wa kimaisha na hofu ya kuwa peke yao

Abuuabdillah (@mahusianoseason) 's Twitter Profile Photo

Watu leo ni wepesi kuachana kwa sababu mitandao ya kijamii imetufanya tuamini kwamba mapenzi yanapaswa kuwa "perfect."   Lakini upendo sio perfect  Mapenzi ni juu ya kukabiliana na changamoto zinazokusudiwa kukutenganisha, kisha ujitoe na kuwa na nguvu zaidi kuliko hapo awali.

Abuuabdillah (@mahusianoseason) 's Twitter Profile Photo

Kosa kubwa ambalo hutakiwi kufanya kama mwanaume ni kujaribu kumgeuza kahaba kuwa mke. Ni makosa ambayo yanaharibu vizazi. Wanaume ambao walijaribu katika siku za nyuma walifanya, uharibifu na kupata majuto. Kinyonga anaweza kubadilisha rangi yake, si tabia yake.

Abuuabdillah (@mahusianoseason) 's Twitter Profile Photo

Fuck being shy. Fuck being an introvert. Strangers will make you rich. Start networking. You're a man. Silence is impolite. Make small talk everywhere you go. You never know what kind of connections you'll create. Closed mouths don't get fed.

Abuuabdillah (@mahusianoseason) 's Twitter Profile Photo

Maneno ni ya bei nafuu, yanabadilishwa kwa urahisi, yanaendeshwa na hisia za wakati huu.  Mwanamke anaweza kukuahidi dunia leo na kutoweka kesho; kukuapia uaminifu huku akipanga njama ya kutoka usiku kwa siri.  Amini tu vitendo na mifumo - havidanganyi abadani

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

البعض يرحل إذا انتهت المصلحة، والبعض يرحل إذا وجد بديلاً لك، والبعض يرحل عندما يعلم بأنك بحاجة له، جميعهم يرحلون ولكن يختلفون بالرحيل Baadhi yao huondoka na kukuacha baada ya kuisha maslahi. Wengine huondoka baada ya kumpata yule atayechukua nafasi yako. Na wengine huondoka

Abuuabdillah (@mahusianoseason) 's Twitter Profile Photo

If you want to become a better person, start by listening more. People don’t always need advice, solutions, or your story. Sometimes they just need someone to hear them out. Be that person.

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

لا شيء يدوم، حتى الأمور التي نحبها يوماً سنتركها Hakuna kitu kinachodumu. Hata mambo ambayo tunayapenda ipo siku tutayaacha.

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Kabla haujadhalilishwa na mwanamke jiulize. Wewe mpambanaji usie na tu vitu ukikaza in 10 years utakuwa na heshima kiasi gani. Na yeye akiendelea kujiremba na kuliwa na wenye pesa in 10 years atakuwa na hali gani. Fimbo pekee inayofaa kukuliza na kukuumiza ni kutembea nje ya