Big_money๐Ÿ’ฐ (@mahela_mengi) 's Twitter Profile
Big_money๐Ÿ’ฐ

@mahela_mengi

โ™

ID: 1392702131749232642

linkhttp://lambert.com calendar_today13-05-2021 04:44:31

21,21K Tweet

1,1K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

I know how many times I have made you go through tough times, I have made many sad, many mad and many cry all because they loved me too much. I can not promise to be different but I can promise to be bigger and better. I LOVE YOU and thank you for the great strength you give me.

Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Movie mpya iliyo toka December 2024, Imeigiziwa, Tanzania katika mbuga za Seremgeti.. Movie hiyo inaelezea historia ya Baba mwenye kisasi anayemjenga mwanae kuja kuwa muwindaji mkubwa na anaeogopwa.. Angalia baadhi ya parts zilizo chezwa Tanzania... Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Movie mpya iliyo toka December 2024,

Imeigiziwa, Tanzania katika mbuga za Seremgeti..

Movie hiyo inaelezea historia ya Baba  mwenye kisasi anayemjenga mwanae kuja kuwa muwindaji mkubwa na anaeogopwa..

Angalia baadhi ya parts zilizo chezwa Tanzania...

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Ray โค๐Ÿ’โค (@raycruzy) 's Twitter Profile Photo

Cargo shirts 25000 tuu delivery โœ…๐Ÿšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048 usipange kukosa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฏ

Cargo shirts 25000 tuu delivery โœ…๐Ÿšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048 usipange kukosa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฏ
CoCo๐Ÿซ๐Ÿ’ฆ (@yourfrenchfry) 's Twitter Profile Photo

Nilisahau nipo kwenye tuzo jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wenzangu watakua wameniacha mbali sana Naombeni kura nicatch up ๐Ÿคฒ๐Ÿพ

Nilisahau nipo kwenye tuzo jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wenzangu watakua wameniacha mbali sana 

Naombeni kura nicatch up ๐Ÿคฒ๐Ÿพ
ะœฮฑั…ฮนะผฮนlฮนฮฑnLBโ›ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟยฐAn Apologist Of Sacred Moralityยฐ (@maximilianlb) 's Twitter Profile Photo

Sijawahi kabisa kusafiri kwa treni ya SGR, but I do hope mahali hapo kutakuwa kuna tunnel. Mara nyingi treni inapopita kwa kasi katika tunnel, mgandamizo wa hewa hubadirika ghafla jambo ambalo linaweza yaletea shida masikio yako na hata wakati mwingine kukunyima kabisa confort ya

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

He's Hurt... Nimemsikiliza Mh. Mbowe kwa umakini na baadae nikagundua mambo kadha. Amefanya mengi sana kwa Lissu as the brother, na alitegemea kwamba hata katika haya, hata katika tofauti hizi basi Lissu angemfichia Mbowe madhaifu yake. ๐ŸงตThread: โฌ‡๏ธ

He's Hurt...

Nimemsikiliza Mh. Mbowe kwa umakini na baadae nikagundua mambo kadha.

Amefanya mengi sana kwa Lissu as the brother, na alitegemea kwamba hata katika haya, hata katika tofauti hizi basi Lissu angemfichia Mbowe madhaifu yake.

๐ŸงตThread: โฌ‡๏ธ
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Mwamba Huyu Hapa! Jina lake alilopewa na wazazi wake ni Constant mwana wa Mutamba Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo. Alipoingia madarakani alipitisha sheria ya hukumu ya kifo kwa yeyote atakayepatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia. Thread:โฌ‡๏ธ

Mwamba Huyu Hapa!

Jina lake alilopewa na wazazi wake ni Constant mwana wa Mutamba Waziri  wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo.

Alipoingia madarakani alipitisha sheria ya hukumu ya kifo kwa yeyote atakayepatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia.

Thread:โฌ‡๏ธ
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Ushuhuda wa kweli. (Pepo la ngono) Miaka takribani 15 iliopita nimekuwa naendeshwa sana na hisia za kingono huku mataminio yangu ya kulala na kila mwanamke niliemtamani yakiwa makubwa sana..

Ushuhuda wa kweli. (Pepo la ngono)

Miaka takribani 15 iliopita nimekuwa naendeshwa sana na hisia za kingono huku mataminio yangu ya kulala na kila mwanamke niliemtamani yakiwa makubwa sana..
Omalicha ๐Ÿ’• (@itsmonaleesah) 's Twitter Profile Photo

Luis: I think she made it clear that sheโ€™s with you Diamond: Sheโ€™s with me? Aah we are just bed buddies I love how Diamond Platnumz effortlessly reveals the true colors of Tanzanian men ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ

๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Watu waliopewa challange inasema "Mtumie text mpenzi wako mwambie "it's Over" alafu screenshot tuone majibu".. Hizi ndio replies zenye vihoja ๐Ÿ˜‚ Check the thread ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ

Watu waliopewa challange inasema "Mtumie text mpenzi wako mwambie "it's Over" alafu screenshot tuone majibu".. Hizi ndio replies zenye vihoja ๐Ÿ˜‚

Check the thread ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa Dodoma uliweka toroli mbele ya farasi kwenye azimio la mgombea 2025 Kuna mengi ya katiba ya chama yamekiukwa Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuisuprize kambi fulani iliyokamia hatua hiyo ambayo ilikuwa na nguvu na imejipanga. Makamu kajiuzuru Chess limeanzishwa

Mkutano wa Dodoma uliweka toroli mbele ya farasi kwenye azimio la mgombea 2025

Kuna mengi ya katiba ya chama yamekiukwa

Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuisuprize kambi fulani iliyokamia hatua hiyo ambayo ilikuwa na nguvu na imejipanga.

Makamu kajiuzuru

Chess limeanzishwa