Eng. Magoti Mtani (@magotimtani) 's Twitter Profile
Eng. Magoti Mtani

@magotimtani

Tanzania Volleyball Federation - President

ID: 605798748

linkhttp://www.tvf.co.tz calendar_today11-06-2012 20:20:40

590 Tweet

354 Takipรงi

156 Takip Edilen

Eng. Magoti Mtani (@magotimtani) 's Twitter Profile Photo

Uandishi poa sana kaka, hongera, Leta Poll ya Round One, Thou sipendi aina hii ya game trend, lakini labda Hiphop ya Bongo inahitaji ili kuchukua market share yake ambayo kwa muda iko vacuumed

Eng. Magoti Mtani (@magotimtani) 's Twitter Profile Photo

Mwana FA huwa ni mmoja wa favorite Rapper kwangu, alipoingizwa kwenye hii issue nilijisikiaga vibaya sana maana ikabidi nihold kidogo kumsikiliza hadi hali ilipokaa sawa... Namuona All time GOAT, Prof Jizze kwenye list, Mtu halisi sana huyu, MUNGU ampe afya njema๐Ÿ™๐Ÿ™

Eng. Magoti Mtani (@magotimtani) 's Twitter Profile Photo

Karibuni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TAVA Usikose kuwa mshiriki wa maboresho ya mpira wa wavu TANZANIA. Mabadiliko ni sasa! Karibuni Dar es salaam. UMOJA WETU MCHEZO WETU

Karibuni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TAVA

Usikose kuwa mshiriki wa maboresho ya mpira wa wavu TANZANIA. Mabadiliko ni sasa!

Karibuni Dar es salaam.

UMOJA WETU MCHEZO WETU
Eddo (@eddo142) 's Twitter Profile Photo

Nisaidie RT pls ๐Ÿ™ The Confirmations Wababe Hawa hapa, Ligi ya Taifa ya Mpira wa wavu. Kuanzia tareh 26 June 2023 Gwambinaa Waleteeeee @azamtv Eng. Magoti Mtani Tanzania Volleyball Federation

Nisaidie RT pls ๐Ÿ™

The Confirmations
Wababe Hawa hapa, Ligi ya Taifa ya Mpira wa wavu. Kuanzia tareh 26 June 2023

Gwambinaa

Waleteeeee

@azamtv <a href="/magotimtani/">Eng. Magoti Mtani</a> 
<a href="/tzvolleyballfed/">Tanzania Volleyball Federation</a>
WelBeast (@welbeast) 's Twitter Profile Photo

There's a serious conflict and humanitarian crisis going on in the DR of Congo, fueled by the exploitation of its rich mineral resources; coltan, cobalt, and gold and I think we need to create more awareness about it.

There's a serious conflict and humanitarian crisis going on in the DR of Congo, fueled by the exploitation of its rich mineral resources; coltan, cobalt, and gold and I think we need to create more awareness about it.
Eng. Magoti Mtani (@magotimtani) 's Twitter Profile Photo

Kaka Bin Kazumari Kubeza juhudi za Azam TV kwenye maendeleo ya michezo hapa nchini sio sawa, naheshimu hisia zako lakini umekuwa too general, Hivi viwanja vingi bado ni changamoto kwenye Camera Setups. Kwa changamoto hizi wadau wengine wanatakiwa kuboresha maeneo yao pia.

Eng. Magoti Mtani (@magotimtani) 's Twitter Profile Photo

Kwangu mimi Thomas Partey ni moja ya Viungo wazuri na bora kutoka bara letu, lakini hawezi kuwa mbele ya watu kama. Yaya Toure Jay-Jay Okocha Michael Essien Abed Pele na Mohamed Aboutrika Anaweza kukaa kundi la kina Mikel Obi, ila hao miamba nadhani itabidi Asubiri kidogo.

Eng. Magoti Mtani (@magotimtani) 's Twitter Profile Photo

Okay, Prof. lakini faida kama vile 1. Kupungua kwa gharama za uagizaji bidhaa 2. Kupunguza mfumuko wa bei 3. Kuchochea uwekezaji wa Ndani Naona kama ni kubwa kulinganisha na hasara ulizotaja. Though naelewa hoja yako kuhusu fluke ila hata hizo hasara ni ni flip tu ya faida