Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile
Magogoni Daily

@magogonidaily

Habari, Uchambuzi, Sera, Siasa na Historia kwa namna tofauti | Bilingual

ID: 1795084075151077377

linkhttp://magogoni.com calendar_today27-05-2024 13:26:23

562 Tweet

7,7K Followers

4 Following

Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Ada ya vyuo vya ufundi imepunguzwa; Bweni kutoka TZS 860,000 hadi TZS 120,000. Kutwa kutoka TZS 300,000 hadi TZS 60,000. #TikiKwaSamia kwa dhamira ya kuwapa vijana ujuzi utaowapa ajira.

Ada ya vyuo vya ufundi imepunguzwa;

Bweni kutoka TZS 860,000 hadi TZS 120,000.

Kutwa kutoka TZS 300,000 hadi TZS 60,000.

#TikiKwaSamia kwa dhamira ya kuwapa vijana ujuzi utaowapa ajira.
Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya. Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063. Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru. #TikiKwaSamia

Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Tanzania yaongoza kwa amani Afrika Mashariki (Global Peace Index 2025). 1. 🇹🇿 Tanzania 2. 🇷🇼 Rwanda 3. 🇺🇬 Uganda 4. 🇰🇪 Kenya 5. 🇧🇮 Burundi 6. 🇸🇴 Somalia 7. 🇨🇩 DR Congo 8. 🇸🇸 Sudan Kusini #TikiKwaSamia

Tanzania yaongoza kwa amani Afrika Mashariki (Global Peace Index 2025).

1. 🇹🇿 Tanzania
2. 🇷🇼 Rwanda
3. 🇺🇬 Uganda
4. 🇰🇪 Kenya
5. 🇧🇮 Burundi
6. 🇸🇴 Somalia
7. 🇨🇩 DR Congo 
8. 🇸🇸 Sudan Kusini

#TikiKwaSamia
Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia kwa kuongeza matumizi ya mbolea kwenye kilimo; Mwaka 2021: Kilo 19 kwa ekari Mwaka 2025: Kilo 24 kwa ekari Ruzuku inawawezesha wakulima kununua mbolea kwa nusu bei.

#TikiKwaSamia kwa kuongeza matumizi ya mbolea kwenye kilimo;

Mwaka 2021: Kilo 19 kwa ekari 
Mwaka 2025: Kilo 24 kwa ekari

Ruzuku inawawezesha wakulima kununua mbolea kwa nusu bei.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8. Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8.

Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango

Ni faraja kubwa kuona Boti ya Utafutaji na Uokoaji imeshushwa kwenye maji ili kuanza kazi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM (2020-2025) unaolenga kuimarisha usalama wa watumiaji wa ziwa hilo ambalo ni muhimu kwa uchumi na maisha ya wananchi.

Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Mama amefikisha umeme kwenye vijiji vyote nchini. Hizi ni sauti za wananchi wakieleza maisha yao yalivyobadilika. #TikiKwaSamia