CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact) 's Twitter Profile
CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI

@maestrowafact

Political analyst and prophet, extremely non partisan.I tweet my thoughts and rarely what GOD commands, JPM'S DISCIPLE.Zee la UTU na MIPANGO rest well myReggy🕊

ID: 1263556748239142912

linkhttp://Sungura.co.tz calendar_today21-05-2020 19:47:52

59,59K Tweet

15,15K Takipçi

714 Takip Edilen

mastacaptain🇺🇸🇻🇮 (@johnpau10227488) 's Twitter Profile Photo

Humu kuna watoto wa kiume wapo free sana imagne mwanaume anakua mfukunyungu kwa wanawake mambo ya wanawake wayamalize wenyewe bana 😂😂😂💔

Humu kuna watoto wa kiume wapo free sana imagne mwanaume anakua mfukunyungu kwa wanawake mambo ya wanawake wayamalize wenyewe bana 😂😂😂💔
CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact) 's Twitter Profile Photo

Masabuni kumbe form Bolo yeng lilimkolea akabeba mimba alafu Mjomba Magu akashindilia ukibeba mimba no Necta Hapo ndo maisha ya yule binti kuwachukia wanaume yalipoanzia

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

TUJIKUMBUSHE KWANZA KIDOGO Kuna miezi kadhaa imepita nyuma huyu kibatala alikutwa na shutuma nzito za kutapeli pesa ya mtu humu. CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI alimwambia mtapeliwa kuwa awe mpole pesa yao itarudi tu Ngoma bado mbichi hii tusubiri magonjwa atoke hospital atuambie ukwel

TUJIKUMBUSHE KWANZA KIDOGO 

Kuna miezi kadhaa imepita nyuma huyu kibatala alikutwa na shutuma nzito za kutapeli pesa ya mtu humu.
<a href="/maestrowafact/">CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI</a> alimwambia mtapeliwa kuwa awe mpole pesa yao itarudi tu 
Ngoma bado mbichi hii tusubiri magonjwa atoke hospital atuambie ukwel