@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile
@G7 ⛈❄

@macxreeig7

Machinery Operator | Excavator| Drilling Machine & Blustering| Passionate about Heavy Equipment & Energy Sector | Business-minded | Always on the Grind.@G7❄

ID: 1576330649874698240

calendar_today01-10-2022 21:58:23

15,15K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile Photo

Kuna mlevi alisikika akisema Jana wakati Kesi ya Tundu Lissu ikiendelea kusikilizwa mahakamani. Tajiri la kihaya na trops lake wakaanzisha mbanga zao zilizokaanza tokea juzi j3 mpaka jana j4 Sasa swali kwanini iwe juzi na jana..!? Ndo waanzishe hayo mambo NWAY TISS KAZINI

Kuna mlevi alisikika akisema 

Jana wakati  Kesi ya Tundu Lissu  ikiendelea kusikilizwa mahakamani.

Tajiri la kihaya na trops lake wakaanzisha mbanga zao zilizokaanza tokea juzi j3 mpaka jana j4 
Sasa swali kwanini iwe juzi na jana..!? Ndo waanzishe hayo mambo 
NWAY TISS KAZINI
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Tushaanza kuzoea maisha bila Mdude kama tulivyozoea bila Soka naye itapita Mwaka hivi hivi kama utani ila Familia yake inamkumbuka kila sekunde Mke watoto bado wanaziona nguo zake nyumban kwake hawajazitupa wanaamini atarudi ila maumivu ni makali Taifa halikudai Mdude Nyagali🙏

Tushaanza kuzoea maisha bila Mdude kama tulivyozoea bila Soka naye itapita Mwaka hivi hivi kama utani ila Familia yake inamkumbuka kila sekunde Mke watoto bado wanaziona nguo zake nyumban kwake hawajazitupa wanaamini atarudi ila maumivu ni makali

Taifa halikudai Mdude Nyagali🙏
@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile Photo

Oyaaa nyieee wazeee wa humu ndani Tuanzishe challenge humu ndani basi Kila mmoja ampost tweep wa humu ndani unaemjuwa 🙌😂😂😂😂 Unauhakika wewe na yule mwanao utabaki salama kweli 🤣🤣🤣

Oyaaa nyieee wazeee wa humu ndani 
Tuanzishe challenge  humu ndani basi 
Kila mmoja ampost tweep wa humu ndani unaemjuwa 🙌😂😂😂😂 

Unauhakika wewe na yule mwanao utabaki salama kweli 🤣🤣🤣
@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile Photo

Kwahyo leo hadi sahizi mmegoma kupost hata chudai basi tuwekeeni hizo link tuishi mamaae 🙌Kila kona ukipita flani kachukuwa form kachukuwa form mtajichaguwa wenyewe

@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile Photo

Hii inchi sasa hivi ukijichanganya tu unaenda kuwa mtaji wa watu sehemu sasa mutulize makomwe yenu hayo 🙌😂😂😂

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni Afisa Mtendaji wa kijiji cha Uyovu anaitwa Budimu na Afisa Mtendaji wa kijiji cha

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Haya mateso aliyopitia huyu kijana mpaka anafariki ndio wanapitia watu wote wanaotekwa. Mimi ni moja ya wachache tulioweza kupona kwenye kipigo cha kikatili kama hiki. Kibaya zaidi huwa wanarekodi mateso yote na kuwatumia wakubwa zao (WAKINA MAFWELE , MURILO). Kama tuu wewe

Haya mateso aliyopitia huyu kijana mpaka anafariki ndio wanapitia watu wote wanaotekwa. 

Mimi ni moja ya wachache tulioweza kupona kwenye kipigo cha kikatili kama hiki. Kibaya zaidi huwa wanarekodi mateso yote na kuwatumia wakubwa zao (WAKINA MAFWELE , MURILO).

Kama tuu wewe
𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Unawezaje kumpiga mtu na kumpatia mateso namna hii mpaka kufa. Hakuna jambo linaloumiza zaidi ya kuona binadamu anampiga mwenzake mpaka kufa kwa makusudi. Uhai si kitu cha kuchezea. Dunia tunaipeleka wapi? Kama kweli tuna polisi na tunaamini kwenye sheria, kwa nini

Unawezaje kumpiga mtu na kumpatia mateso namna hii mpaka kufa. 

Hakuna jambo linaloumiza zaidi ya kuona binadamu anampiga mwenzake mpaka kufa kwa makusudi.

Uhai si kitu cha kuchezea. Dunia tunaipeleka wapi?

Kama kweli tuna polisi na tunaamini kwenye sheria, kwa nini
@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile Photo

Hivi deni la taifa trioni ngapi vile...!? wazeee Si wajitolee basi tupunguze deni la mama walau bilioni 1 watakuwa wametusaidia kitu 😂😂😂

Hivi deni la taifa trioni ngapi vile...!? wazeee 

Si wajitolee basi tupunguze deni la mama walau bilioni 1 watakuwa wametusaidia kitu 😂😂😂
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

😭 YOUNG MAN BEATEN TO DEATH BY VILLAGER LEADERS‼️ #Tanzania in a brazen act of gross violations of human rights, CCM village leaders in Geita district (who were rigged into this position) have killed a young man they claim was a thief suspect! Because there is video evidence,

😭 YOUNG MAN BEATEN TO DEATH BY VILLAGER LEADERS‼️
#Tanzania in a brazen act of gross violations of human rights, CCM village leaders in Geita district (who were rigged into this position) have killed a young man they claim was a thief suspect! 
Because there is video evidence,
@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile Photo

Hujengi Husomeshi Huna mke Huna demu Huna mtoto Husaidii kwenu Husaidii ndugu zako Sasa ni kipi kinachokufanya uwe Omba omba kwa wanaume wenzako ? QMMAEE SI UNAMTAJI WEWE WEKA MQundu lehani 😂😂😂

@G7 ⛈❄ (@macxreeig7) 's Twitter Profile Photo

Hii inshu wazee sio matani ila mm sipo kwenye udini hapo Kuna matokeo ya shule ya msingi Ya mwaka 2012 vyeti vyake havikutoka mpaka leo. sio vyeti tu mpaka matokeo mtandaoni hayaonekani yalishaondolewa na hata taarifa NECTA hawakutolea ufafanuzi ila huyu mama dah! 🙌

Hii inshu wazee sio matani ila mm sipo kwenye udini hapo 

Kuna matokeo ya shule ya msingi 
Ya mwaka 2012  vyeti vyake havikutoka mpaka leo.
 sio vyeti tu mpaka matokeo mtandaoni hayaonekani   yalishaondolewa  na hata taarifa NECTA hawakutolea ufafanuzi 
 ila huyu mama dah! 🙌