Mwanaidi Maajar (@maajarmwa) 's Twitter Profile
Mwanaidi Maajar

@maajarmwa

Diplomat, Advocate, Accredited Arbitrator and Negotiator Natural Resource Law Consultant (mining, oil & gas) Chair- REX Advocates

ID: 1667369606

linkhttp://www.rexattorneys.co.tz calendar_today13-08-2013 09:49:57

1,1K Tweet

2,2K Followers

401 Following

UONGOZI Institute (@uongozi) 's Twitter Profile Photo

This Friday (26 July, 2024), our Centre will host a book discussion on "Emotional Intelligence: Why It Can Matter More Than IQ" by Daniel Goleman. Main Reviewer: Zuhura Muro, Founder and Managing Partner of Impact Leadership Academy Attend in-person: UONGOZI Institute’s

This Friday (26 July, 2024), our Centre will host a book discussion on "Emotional Intelligence: Why It Can Matter More Than IQ" by Daniel Goleman.

Main Reviewer: Zuhura Muro, Founder and Managing Partner of Impact Leadership Academy

Attend in-person: UONGOZI Institute’s
WHO African Region (@whoafro) 's Twitter Profile Photo

Breaking: Dr Faustine Engelbert Ndugulile, proposed by Tanzania🇹🇿, has just been nominated as the next World Health Organization (WHO) Regional Director for Africa. Member States voted in a closed session today at the 74th session of the WHO Regional Committee for Africa. afro.who.int/news/dr-fausti…

TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

Tunapofunga Mwaka 2024, Tunatoa Shukrani Zetu za Dhati! Tunapokaribia mwisho wa mwaka 2024, Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) tunatoa shukrani za dhati kwa wadau wetu wote. Mchango wenu wa dhati na ushirikiano wenu umekuwa

Tunapofunga Mwaka 2024, Tunatoa Shukrani Zetu za Dhati!

Tunapokaribia mwisho wa mwaka 2024, Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) tunatoa shukrani za dhati kwa wadau wetu wote.

Mchango wenu wa dhati na ushirikiano wenu umekuwa
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Mwenda, these are not soldiers but truck drivers and their assistants. They have been rescued. Tanzanian TPDF is in DRC under UN and SADC mandate and our men and women in unforms have behaved very professionally in Kivu. Very professionally, UNDERLINE! Please respect Tanzania

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu Ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na wananchi na kuhusu kazi, na namna zaidi ya Shilingi Trilioni 3.1 toka serikalini kuja Mkoa wa Tanga zilivyobadili maisha yao kupitia miradi mbalimbali katika

@Dodoma_region (@dodomaregion) 's Twitter Profile Photo

"TAWLA mmekua sauti ya Wanawake na watoto waliokosa Ulinzi wa kisheria lakini pia mmechochea mabadiliko ya kisheria kwenye Sheria kandamizi, mmefanya tafiti zenye mchango mkubwa katika Sera, mmesaidia Wanawake, watoto na jamii kwa ujumla kupata elimu ya kisheria." RC Senyamule.