Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile
Michael Mafuru

@m_mafuru

Jesus's Disciple (Repent & Believe in the Gospel)| M:D Mafuru Foundation|
Social Runner
|Mind - Body - Spirit
|P: Inspire - Encourage - Motivate| 🇹🇿

ID: 202040771

linkhttp://www.kilamwenyepumziamsifubwana.com calendar_today13-10-2010 05:01:15

5,5K Tweet

3,3K Followers

992 Following

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Ni ndugu zetu, tuwapende na kuwajali, tunapopata nafasi tuwatembele na kuwapa faraja, tumuwakilishe Mungu kupitia sisi, ni jukumu letu. TUNAMTUMIKIA MUNGU KUPITIA WATU. _ Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

TUNAMTUNIKIA MUNGU KUPITIA WATU Kazi aliyotutuma Mungu kwa huyu mama tumeikamilisha, tumemboreshea mazingira yake na Tumempatia Mtaji wa Biashara (Next video itaonyesha tukimpa Mtaji). Mmeweka alama kubwa sana ambayo itaishi vizazi na vizazi. _ Namshukuru Mungu kwa kuwaandaa watu

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Mungu akikupa uwezo wa kifedha, neno la faraja au kutia moyo sio kwa ajili yako ni kwa ajili ya wengine wenye uhitaji, alipotuumba alimaliza kila kitu, vyote vimo ndani ya uwezo wetu. Na ndio maana Yeye hashuki, bali anamlipa kila mtu sawasawa na matendo yake, liwe zuri au baya.

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndugu yetu anaitwa Hakim umri wake ni miaka 15, anaishi na mama ake, Baba yao alitelekeza familia yake baada ya Hakim kuzaliwa na ulemavu, na mama ake aliishakata tamaa ya kupata msaada baada ya watu kuwa wanaenda pale kila mwaka kumchukua vipimo na kupiga nae picha

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Tunapoonyesha huruma kwa muhitaji yeyote mbele za Mungu ni tendo jema, na hii ni ishara kwamba kuna baraka kwenye hili la kuwahudumia wahitaji ndio maana Mungu hashuki anataka hawa wahitaji wamuone Yeye kupitia sisi, na ndio maana ameandaa malipo kwa ajili ya wote wanao waonea

Tunamtumikia Mungu kupitia watu kwa kumuwakilisha kwa watu wenye uhitaji sawasawa na maelekezo ya Neno lake. kila unapomkumbuka muhitaji una tii sauti ya Mungu. _ Number za kutuma Sadaka yako: Mpesa Lipa Namba: #58240194 Mpesa: #0748618888 Airtel Money: #0695152598 CRDB Bank:

Tunamtumikia Mungu kupitia watu kwa kumuwakilisha kwa watu wenye uhitaji sawasawa na maelekezo ya Neno lake. kila unapomkumbuka muhitaji una tii sauti ya Mungu.
_
Number za kutuma Sadaka yako:
Mpesa Lipa Namba: #58240194
Mpesa: #0748618888
Airtel Money: #0695152598
CRDB Bank:
Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio. - Wagalatia 6:9-10

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Tumekamilisha 830,000Tsh. Kwa ajili ya kumnunulia ndugu yetu Wheel Chair pamoja Baiskeli. Na tayari malipo yameishafanyika, kwenye Kampuni ya NEPRO MEDICAL, kwa ajili ya kuutuma Mzigo. _ Mungu awabariki sana watu wote ambao wamefanikisha hili, binafsi taendelea kumshukuru Mungu

Tumekamilisha 830,000Tsh. Kwa ajili ya kumnunulia ndugu yetu Wheel Chair pamoja Baiskeli. Na tayari malipo yameishafanyika, kwenye Kampuni ya NEPRO MEDICAL, kwa ajili ya kuutuma Mzigo.
_
Mungu awabariki sana watu wote ambao wamefanikisha hili, binafsi taendelea kumshukuru Mungu
Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Social Test: Part 41 - Mtihani wa kumsaidia mtu anae omba msaada wa chakula huwa mwepesi sana, ila inaendana na huruma ndani yake.

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Katika harakati zangu za kufanya mazoezi huwa nakutana sana na huyu ndugu yangu tukajenga urafiki, hii siku nikiwa katika shughuli zangu nikakutana nae ametoka kutafuta elfu moja (buku) ili akasage mahindi apate unga lkn hakupata, kwa kuwa shughuli zangu ni Kumtumikia Mungu

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Hakuna jambo zuri kama Mungu kutuamini na kuamua kutuchagua kumuwakilisha kwa wahitaji wake. Wote ambao mmetoa Sadaka zenu Mungu aliwachagua kwa ajili ya hili. _ Furaha ya huyu mtoto, Mbingu zimepokea, Mungu amefurahi [Kwa kuwa furaha ya Bwana ni nguvu zenu. - Nehemia 8: 10] na

Hakuna jambo zuri kama Mungu kutuamini na kuamua kutuchagua kumuwakilisha kwa wahitaji wake. Wote ambao mmetoa Sadaka zenu Mungu aliwachagua kwa ajili ya hili.
_
Furaha ya huyu mtoto, Mbingu zimepokea, Mungu amefurahi [Kwa kuwa furaha ya Bwana ni nguvu zenu. - Nehemia 8: 10] na
Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Team ya Mafuru Foundation tulipoenda kumkabidhi Vifaa, Kiti pamoja Na Baiskeli Kijana wetu Hakimu kwa ajili ya kumsaidia kutoka eneo moja kwenda jingine (Sehemu ya 01). _ Vifaa ambavyo tuliwaomba mchango hapa, Nanyi hamkusita, kwa mioyo yenu ya huruma, mkaamua kutoa kama Sadaka

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Namna ambavyo tulirudisha tabasamu kwa Hakimu pamoja na Mama yake baada ya kuwakabidhi kiti pamoja na baiskeli, kwao waliona ni muujiza kwasababu hawakuwahi tegemea kama ipo Siku Mungu atawakumbuka na kuwarudishia tabasamu. _ Binafsi namshukuru Mungu kwa kuweka hii huduma ndani

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Social Test: Part 41 - Kumrudishia mtu tabasamu haiitaji uwe na mamilioni, anza na kidogo ulicho nacho, Mungu atakubariki.

Michael Mafuru (@m_mafuru) 's Twitter Profile Photo

Social Test: Part 42 - Moyo wa huruma na upendo unajulikana kwa matendo sio maneno. Na kila Mmoja atajaribiwa kwa wakati wake.