ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 (@luganoedomm) 's Twitter Profile
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿

@luganoedomm

Daddy, Husband,Brother ,Teacher 🇹🇿 , Entertainer🎤||
C. E. O @naonavyema And Lugano kids shop 🏪👕 || #ASIYEBADILIKA VIDEO 📹
CLICK 👇To view my YouTube

ID: 3371372687

linkhttps://youtu.be/Es-5cmY4c1I calendar_today11-07-2015 21:58:23

46,46K Tweet

37,37K Followers

15,15K Following

ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 (@luganoedomm) 's Twitter Profile Photo

ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. 2 Nyakati 7:14

ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 (@luganoedomm) 's Twitter Profile Photo

Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Isaya 1:18

ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 (@luganoedomm) 's Twitter Profile Photo

Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu. Mt 15:8-9

ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 (@luganoedomm) 's Twitter Profile Photo

Bwana asema: “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao na kuniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. Ibada yao kwangu inatokana na maagizo waliyofundishwa na wanadamu. Isaya 29:13

ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 (@luganoedomm) 's Twitter Profile Photo

Usiogope hofu ya ghafula itakapokupata , Kwa maana Bwana atakurinda ili usinaswe na mitego ya watesi, Uwe hodari tu na moyo wa ushujaa Mithali 3,25 -26