Conoralbert (@love_conquers3) 's Twitter Profile
Conoralbert

@love_conquers3

Proud to be catholic.
Education.
Tested, Approved and trusted.

ID: 1694237952421908480

calendar_today23-08-2023 06:40:53

6,6K Tweet

670 Followers

284 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

"Niligombea Udiwani kwenye Uchaguzi wa Mkuu wa 2020, nilibambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi wakati huo hata laki mbili tu nilikuwa sina.."-; Deogratias Mahinyila, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa.

MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche akiongea na wananchi wa Mwaya - Morogoro kama muendelezo wa kampeni yao ya No reforms No election.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

1. Kiswahili: “Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi” ⸻ 2. Kiingereza: “No Reforms, No Election” (asili) ⸻ 3. Kifaransa (French): “Pas de réformes, pas d’élections” ⸻ 4. Kihispania (Spanish): “Sin reformas, no hay elecciones” ⸻ 5. Kiarabu (Arabic): “لا إصلاحات، لا

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Tito Magoti Hakuna Kipindi Sauti Za HAKI Zimekua Nyingi Nakubwa Kama Kipindi Hiki TUNDU LISSU Hazuiliki Kwakumpa Kesi Anazuilika Kwakujibu Hoja Zake MAGUFULI Aliona Njia Pekee Yakumnyamazisha Lissu Nikumpeleka Kaburini. Lissu Akapigwa Risasi 16. Lissu Yupo Hai MAGUFULI Kashageuka Vumbi

Travis (@traviskitengo__) 's Twitter Profile Photo

In Swahili: HAKUNA MAGEUZI HAKUNA UCHAGUZI In English: NO REFORM NO ELECTION In chinesse:沒有改革就沒有選舉 In Lingala: RÉFORME TE ELECTION TE In 1gbo:O DỊGHị Mgbanwe O BỤGH! Nhọputa Andika kwa Kilugha cha kwenu chini huenda wakaelewa maccm ….✍️

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

SATIVA17 Kitendo Chakumpa TUNDU LISSU Kesi Ya UHAINI Imekua Kama Kumpiga Chura Teke Sasa NO REFORM NO ELECTION Ni Wimbo Wa Taifa Unaimbwa Nakila Mtanzania Kasoro Wenye MADARAKA Na Chawa Wa Wenye Madaraka. Tutaelewana Tu🫵🐗

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mliokaribu na Idd Amin Mama, IGP Wambura, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na CDF Jacob Mkunda, Wafikishieni huu ujumbe kutoka kwa Mzee wetu Butiku.

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

MANGE KIMAMBI Influence Yake Ni Kubwa Sana Aliwahi Itisha Maandamano Enzi Za MAGUFULI Wakamwagwa POLISI Barabarani Nchi Nzima Na JWTZ Wakatangaza Usafi MANGE Akakiwasha Ubalozini Maandamano Yalikua Makubwa Na Ujumbe Ulifika. MANGE Wa 2015 Karejea Tena 2025🔥 Mpeni RT 200🤝

MANGE KIMAMBI Influence Yake Ni Kubwa Sana Aliwahi Itisha Maandamano Enzi Za MAGUFULI Wakamwagwa POLISI Barabarani Nchi Nzima Na JWTZ Wakatangaza Usafi

MANGE Akakiwasha Ubalozini Maandamano Yalikua Makubwa Na Ujumbe Ulifika.

MANGE Wa 2015 Karejea Tena 2025🔥

Mpeni RT 200🤝
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

Maana HALISI ya KUUPIGA MWINGI 🔥🔥🙌🏿🙌🏿 CHAWER anzeni kampeni ya kufungia mapema mana safari hii msipoangalia mtafungia mitandao yote na bado watu WALE TWARUKAA😂😂

Maana HALISI ya KUUPIGA MWINGI 🔥🔥🙌🏿🙌🏿
CHAWER anzeni kampeni ya kufungia mapema mana safari hii msipoangalia mtafungia mitandao yote na bado watu WALE TWARUKAA😂😂
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kwamba mtu akitekwa na polisi tuhofie atalawitiwa? Huu upumbavu hatuukubali. Kama ni asili ya Kizimkazi, basi arudi nayo kwao!

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

1. Kinyakyusa (Mbeya) “Pa kubalwa mikaka ja mawu ga uchagusi, tapali uchagusi.” ⸻ 2. Kichaga (Kilimanjaro) “Ka hakunaga mabadiliko ya sheria za uchaguzi, hakunaga uchaguzi.” ⸻ 3. Kihaya (Kagera) “Obutakaba mabadiliko ga amategeko g’obulondezi, tibaliba bulondezi.” ⸻