Lex (@lex_jofrey) 's Twitter Profile
Lex

@lex_jofrey

ID: 1918715989740367872

calendar_today03-05-2025 17:16:48

0 Tweet

0 Takipçi

25 Takip Edilen

Lex (@lex_jofrey) 's Twitter Profile Photo

Zamani ukisikia mtu kapigwa Nondo mbeya.....nondo inatumika buchani, sasa damu alizomaaga Mdude kama ni kipigo cha Nondo bad nondo ni nyingi sana...

Zamani ukisikia mtu kapigwa Nondo mbeya.....nondo inatumika buchani, sasa damu alizomaaga Mdude kama ni kipigo cha Nondo bad nondo ni nyingi sana...
Lex (@lex_jofrey) 's Twitter Profile Photo

Ni lini derby ya Premier league, ligi pendwa Dunian kwa karne hii ya 21, ilishawah kujadiliwa kwene bunge lao...kwa ajenda yeyote ile inauohusu mpira!? Kwani ulaya hakuna viongoz mashabik waliopo kwene bunge lao......

Lex (@lex_jofrey) 's Twitter Profile Photo

Mwanaharaki ni nani!? Ni mtu yeyote anaye hubiri haki, anayedai haki, anayetenda haki...... Siasa ni nini!? Uwasilishaji/uwasilishwaji wa fikra, mtazamo, msimamo wa mtu/watu kuhusu jambo fulani.....

Mwanaharaki ni nani!?
Ni mtu yeyote anaye hubiri haki, anayedai haki, anayetenda haki......
Siasa ni nini!?
Uwasilishaji/uwasilishwaji wa fikra, mtazamo, msimamo wa mtu/watu kuhusu jambo fulani.....
Lex (@lex_jofrey) 's Twitter Profile Photo

Yule jamaa akitoka kwene zile nondo na kuta za Ukonga pale, mwambie aanzie ziara yake katoro au Tunduma..... #NoReformsNoElection