Masha⏳ (@letvshenko) 's Twitter Profile
Masha⏳

@letvshenko

Your trust will get you killed

ID: 1432485721

calendar_today16-05-2013 08:15:09

43,43K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

CDM of late: M/kiti yuko jela. Makamu, KM & co wako field. Mawakili wako korti kutetea chama kisifutwe. Naibu KM yuko ofisini HQ. Mdude, Soka, Mlay & co wametekwa. Mzee Kibao ameuwawa! Imagine if we’d a level playing field. Ndio maana dola inaweweseka. Na bado.

CDM of late: M/kiti yuko jela.

Makamu, KM & co wako field.

Mawakili wako korti kutetea chama kisifutwe.

Naibu KM yuko ofisini HQ.

Mdude, Soka, Mlay & co wametekwa.

Mzee Kibao ameuwawa!

Imagine if we’d a level playing field.

Ndio maana dola inaweweseka. Na bado.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Inasikitisha kufahamu Amani Gologwa ametekwa akiwa airport DSM usiku wa jana. Amepigwa sana, shuhuda anaeleza, wakatokomea naye kusikojulikana. Tumefikaje hapa? What's wrong with us? Do we, as citizens, really need this kind of governance system? Help us find Amani🙏😭

Inasikitisha kufahamu Amani Gologwa ametekwa akiwa airport DSM usiku wa jana. Amepigwa sana, shuhuda anaeleza, wakatokomea naye kusikojulikana.

Tumefikaje hapa? What's wrong with us?

Do we, as citizens, really need this kind of governance system?

Help us find Amani🙏😭
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mbona msajili hakutengua ule uteuzi wa wagombea urais wa mbogamboga ambao ulikuwa kinyume na ratiba na kanuni za chama chao? CHADEMA waendelee kupulizia dawa, kuna wadudu bado wanatambaa. Safari hii watumie ile dawa ya DDT iliyopigwa marufuku

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

CDM leo: NKM Bara ametekwa airport, kazuiwa kusafiri. Msajili ametengua uteuzi wa wajumbe Kamati Kuu. Makamu M/Kiti, KM & co wako field. Bawacha wamewakana sellouts wanaoelekea Chauma. Mdude, Soka & co hawajapatikana. M/Kiti yuko jela. They Not Like Us!✌️

CDM leo: 

NKM Bara ametekwa airport, kazuiwa kusafiri.

Msajili ametengua uteuzi wa wajumbe Kamati Kuu. 

Makamu M/Kiti, KM & co wako field. 

Bawacha wamewakana sellouts wanaoelekea Chauma.

Mdude, Soka & co hawajapatikana. 

M/Kiti yuko jela. 

They Not Like Us!✌️
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

"Kanisa ni Takatifu, sio kwa sababu ya matendo yetu, bali kwa sababu kichwa chake ni Kristo mwenyewe ambaye ni Mtakatifu. Kazi yetu sisi ni kuishi kwa kumfuata Yeye, sio kuunda Kanisa kwa mfano wetu" ~ Papa Leo XIV

"Kanisa ni Takatifu, sio kwa sababu ya matendo yetu, bali kwa sababu kichwa chake ni Kristo mwenyewe ambaye ni Mtakatifu. Kazi yetu sisi ni kuishi kwa kumfuata Yeye, sio kuunda Kanisa kwa mfano wetu" ~ Papa Leo XIV
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Dont remain silent when you see injustice just because it isn't happening to you For it may not take long before that injustice comes to knock your door, naked and erect ready for you

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Polisi KE🇰🇪 amejiuzulu kufuatia mauaji ya Ojwang akiwa polisi. Umma & Bunge wanadai uwajibikaji kijinai. TZ🇹🇿 kuna visa chungu nzima vya mauaji, mateso, ufiraji na kupotezwa raia vinavyofanywa na polisi. Bunge & Rais wamebariki huo uzandiki. Tuna hali ngumu mno.

Ray ❤💝❤ (@raycruzy) 's Twitter Profile Photo

Form six 12000 tuu kila mtu apate 📌 Delivery ✅🚚 mikoani tunatuma WhatsApp 0753103048🌹🔥💯 Kindly repost 🙏♥️

Form six 12000 tuu kila mtu apate 📌 
Delivery ✅🚚 mikoani tunatuma WhatsApp 0753103048🌹🔥💯
Kindly repost 🙏♥️
𝐄𝐥 𝐊𝐧𝐨𝐰𝐬 (@iam_elknows) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini bado unachoma akaunti na unalipia Trading view😂, unajua Kuna njia ya kupata lifetime trading view free ni wewe na mda wako? Kama bado upo unga na huna hela ya kulipia trading view? →Follow me →Like & Repost →Comment " FX TRICK" Kisha nitumie sms DM " Done"

Kwa nini bado unachoma akaunti na unalipia Trading view😂, unajua Kuna njia ya kupata lifetime trading view free ni wewe na mda wako?

Kama bado upo unga na huna hela ya kulipia trading view? 

→Follow me
→Like & Repost 
→Comment " FX TRICK" 

Kisha nitumie sms DM " Done"