Lake Fm (@lakefmmwanza) 's Twitter Profile
Lake Fm

@lakefmmwanza

102.5 Lake Fm

ID: 4110673803

linkhttp://www.lakefm.co.tz calendar_today04-11-2015 08:36:09

735 Tweet

82 Followers

6 Following

Lake Fm (@lakefmmwanza) 's Twitter Profile Photo

WABUNGE WAPINGA WIZARA KUTUMIA MAJENGO YA CHUO CHA UDOM, TAKRIBANI WIZARA 6 TAYARI ZIMEANZA KUTUMIA MAJENGO HAYO. #Headlines Lake Fm

WABUNGE WAPINGA WIZARA KUTUMIA MAJENGO YA CHUO CHA UDOM, TAKRIBANI WIZARA 6 TAYARI ZIMEANZA KUTUMIA MAJENGO HAYO. #Headlines <a href="/lakefmmwanza/">Lake Fm</a>
Lake Fm (@lakefmmwanza) 's Twitter Profile Photo

Chama cha ACT-WAZALENDO yataja mikoa ambayo bei ya vyakula imepanda, Arusha, Dodoma, Iringa, Kilimanjaro, Mwanza, Morogoro na Tabora.

Nembo ya Serikali ni alama nyeti (hivyo ni) marufuku kutumika kwa matangazo, alisema Waziri Mohamed Aboud Mohamed. #Headlines Lake Fm

Nembo ya Serikali ni alama nyeti (hivyo ni) marufuku kutumika kwa matangazo, alisema Waziri Mohamed Aboud Mohamed. #Headlines <a href="/lakefmmwanza/">Lake Fm</a>
Lake Fm (@lakefmmwanza) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa 4 wafikishwa mahakamani kwa kumkashifu Rais kwenye mtandao wa whatsApp, kwa kutuma picha za Rais akiwa amevaa hijab.#Headlines

Steven Paul "STEVE JOBS " alizaliwa 24/02/1955 huko San Francisco, California, CEO wa Iphone, na Macintosh #HappyBirthdaySteve #RIPSteve

Steven Paul "STEVE JOBS " alizaliwa 24/02/1955 huko San Francisco, California, CEO wa Iphone, na Macintosh #HappyBirthdaySteve
#RIPSteve
Lake Fm (@lakefmmwanza) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amelaani kuzuka upya kwa tabia ya kuwashambulia wageni walioko nchini Afrika kusini. #Headlines

Mkurugenzi wa kampuni ya Ringing Bells,kampuni ya India ambayo imedai kwamba inauza simu ya bei nafuu zaidi duniani , amekamatwa kwa utapeli

Wananzengo kutoka 102.5 #LakeFm tukiongozwa na Mkurugenzi wetu doreennoni tulifurahia chakula… instagram.com/p/BUw6DbHlUrw/

Lake Fm (@lakefmmwanza) 's Twitter Profile Photo

Mama lishe wa mnada wa Nyakato National Jijini Mwanza, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi… instagram.com/p/BU1qqD-lCL8/