Tobby (@kunta_kinte1750) 's Twitter Profile
Tobby

@kunta_kinte1750

'Don't call me Tobby'
My name is KUNTA KINTE/
The slaves who become legend/
Mandinka village/

ID: 1719077752655986688

calendar_today30-10-2023 19:44:23

994 Tweet

255 Takipçi

419 Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ndiomaana mlikuwa mnakimbia wanetu.🫵🏾😂 YANGA BINGWA NBC.🫵🏾😂 Mwananchi REPOST BILA SABABU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Ndiomaana mlikuwa mnakimbia wanetu.🫵🏾😂

YANGA BINGWA NBC.🫵🏾😂

Mwananchi REPOST BILA SABABU.

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mbunge wa Kongwa 2030 (@andersonmbalai) 's Twitter Profile Photo

Odds 5 Code Sportybet-5GW9CT Code Betpawa-ZZFYL8H Leo lazima muhindi apasuke Repost mitaa ishibe hela Kama bado sijakuunga kwenye group letu la kubeti la WhatsApp nitumie meseji WhatsApp sasahivi WhatsApp 0676971122

Odds 5

Code Sportybet-5GW9CT
Code Betpawa-ZZFYL8H

Leo lazima muhindi apasuke

Repost mitaa ishibe hela

Kama bado sijakuunga kwenye group letu la kubeti la WhatsApp nitumie meseji WhatsApp sasahivi

WhatsApp 0676971122
CERTIFIED HATER PhD ✨ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

Lakini Mimi nawaambia kitu kibaya ambacho hujamfanyia mtu usipoteze muda kujieleza ili ueleweke Watu wanaojifanya miungu watu wanaotaka kuabudiwa ni wapuuzi tu halafu. NB: Mimi siyo life coach wapuuzi nyie.😅

Cypher PX (@tanganyikakid) 's Twitter Profile Photo

Kwa Series za Korea hizi zote 2 zina Story kali zote 9/10, 1. Vagabond ina actions nyingi na Story ni kali sana 2. Kairos: Hii ina story kali, ni fictious kidogo ila ni Nzuri ukiifatilia utaijua namaanisha nini 8/10

Kwa Series za Korea hizi zote 2 zina Story kali zote 9/10,
1. Vagabond ina actions nyingi na Story ni kali sana
2. Kairos: Hii ina story kali, ni fictious kidogo ila ni Nzuri ukiifatilia utaijua namaanisha nini 8/10
Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Mwizi aliyeiba vifaa vya timu ya media siku ya paredi pale Yanga ni huyu hapa. Tafadhali sambaza ujumbe huu kama kuna wanao mfahamu watupatie taarifa au wa ripoti kituo cha Polisi. RT. 📌

Mwizi aliyeiba vifaa vya timu ya media siku ya paredi pale Yanga ni huyu hapa. Tafadhali sambaza ujumbe huu kama kuna wanao mfahamu watupatie taarifa au wa ripoti kituo cha Polisi. 

RT. 📌
PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

WASAFI BETI LIPENI MILLIONI 25 🫵 Hii kampuni inaleta Pyala Pyala huyu kijana wa kitanzania alipuna 30m kwenye mchezo wa Aviatrix,akatoa 5m account ikawa restricted mpaka leo😎 Amefatilia sana mpaka barua kaandika gaming board lakini bado anazungushwa Tuwasalimie hawa 🐉

WASAFI BETI LIPENI MILLIONI 25 🫵

Hii kampuni inaleta Pyala Pyala huyu kijana wa kitanzania alipuna 30m kwenye mchezo wa Aviatrix,akatoa 5m account ikawa restricted mpaka leo😎

Amefatilia sana mpaka barua kaandika gaming board lakini bado anazungushwa 

Tuwasalimie hawa 🐉
Anita💕 (@anitamarick) 's Twitter Profile Photo

Nimeingia hii bar wahudumu wananigombania kila mmoja anataka anihudumie washazoea kula tips na kubaki na vichenchi vyangu 😅 Leo acha manager wao anihudumie mwenyewe.