ktnleo
@ktnleo
Tunakuletea taarifa tendeti, za kuaminika na zisizoegemea upande wowote
ID: 1516418658
http://www.ktnkenya.tv 14-06-2013 13:25:29
38,38K Tweet
31,31K Takipçi
430 Takip Edilen
Tundu Lissu: Kuna mabadiliko, yule ambaye aliitesa nchi kwa miaka mitano amefariki, tuna rais mpya na katika miezi mitatu ya utawala wake, watu wameanza kupumua. Tundu Antiphas Lissu @ PaulNabiswa
Tundu Lissu: Miezi imekwenda lakini bado tunasubiri kuzungumza na rais Samia Suluhu, hajasema chochote kuhusu sisi tuliokimbia nchi kwa sababu ya usalama wetu, hajasema chochote juu ya kesi za uongo. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Tundu Lissu: Kifo si jambo zuri, lakini akifa mtu ambaye ameua watu na kutesa watu, ni faraja. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Tundu Lissu: Kwa miaka minne sasa, polisi wamesema kwamba hawana mshukiwa. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Tundu Lissu: Uchaguzi wa mwaka jana tulikuwa na nguvu zaidi kuliko wakati mwingine wowote tangu tulipoanzisha chama mwaka 1992, lakini wagombea wetu walienguliwa siku ya uteuzi. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Tundu Lissu: Kuna vuguvugu kubwa Tanzania sasa la kudai katiba mpya, msimamo rasmi wa rais Samia ni kwamba wanaotaka katiba mpya watasubiri sana. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Tundu Lissu: Upinzani una nguvu sana sasa hivi zaidi ya wakati uliopita, upinzani sio bungeni tu. Tuna chama kikuu cha siasa Tanzania, CCM bila polisi si kitu. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Tundu Lissu: Tulipoanza kupata shida za Magufuli, ndipo tukamuunga mkono Uhuru Kenyatta wa Jubilee maana Raila Odinga alikuwa rafikiye Magufuli. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Tundu Lissu: Mimi siwezi kusema mambo kama haya katika chombo chochote cha habari cha Tanzania, kwa sababu wananiogopa! Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa
Je, unafahamu ugonjwa wa Kala Azar? #JukwaaLaKTN Zubeidah Kananu
Unadhani maslahi ya watu walio na ulemavu nchini yanashughulikiwa ifaavyo? #KiooChaHoja Zubeidah Kananu Becky Muiruri Mulure
Ubashiri wa michuano ya leo: Villareal V Man U; Chelsea V Juventus Ali Kauleni Hassan Stephen Mukangai Walter Kinjo Kefa Bosire Nengo
Usiku huu michuano ni: Man City V PSG Atletico V AC Milan Liverpool V Porto GG wapi? #WawekezajiCorner Huu ndio ubashiri wao Stephen Mukangai Walter Kinjo Ali Kauleni Hassan na Robin Toskin
Ni #WawekezajiCorner Ali Kauleni Hassan amerudi na ubashiri mwingine. Leo wanasema hakuna GG. Michuano ni hii… Juventus V Atalanta Villarreal V Barcelona Chelsea V Man United Real Madrid V Sevilla Wamegonga ndipo?
Kazungu amebaguliwa si tu na jamii bali pia kwenye maeneo ya kazi. Asema ulemavu umesababisha kampuni nyingi kutilia shaka uwezo wake wa kutekeleza majukumu. Amefanikiwa vipi na hata kupiga hatua maishani licha ya changamoto hizo? Sikiliza masimulizi yake standardmedia.co.ke/podcast/podcas…