Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile
Konyagi Tanzania

@konyagiofficial

Kurasa rasmi ya Konyagi ni ya kuwashirikisha wenye umri 18+ tu. Kunywa kistaarabu.

ID: 1398157364512034816

linkhttps://bit.ly/3INixup calendar_today28-05-2021 06:07:20

591 Tweet

545 Followers

22 Following

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Hatuna complications, weekend hii mipango ni rahisi sana 1. Tunaulamba 2. Tunakutana na wana 3. Tuna #WashaCheche. Tag wana kuwakumbusha wikiendi plans! #washacheche #jibapa #weekend

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Hivi unakumbuka zile enzi za vitendawili? Basi leo tumeamua kukurudisha darasani! Hiki hapa kitendawili cha kukuchangamsha ubongo kidogo.🤓🔥 Dondosha majibu yako kwenye comments hapo chini! ⬇️ #WashaCheche #LadhaHalisi #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Tuendelee kuchangamsha ubongo. Hiki hapa kitendawili kingine, chagua jibu sahihi🔥 A. Msosi B. Mziki C. Konyagi Watu watano wa kwanza kujibu kwa usahihi watapata ofa kutoka Konyagi. #WashaCheche #LadhaHalisi #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Stay tuned… Waliojibu kwa usahihi watatangazwa Ijumaa hii na kupatiwa ofa zao kutoka Konyagi. #WashaCheche #LadhaHalisi #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Hawa ndio walioshiriki na kujibu kwa usahihi na wamejipatia ofa zao kutoka Konyagi za kuenjoy weekend. Ndio kwanza tumeanza, endelea kufwatilia kurasa zetu na washirikishe washakaji kama hawajafollow kurasa za zetu basi wafanye hivyo wasipitwe. #Konyagi #Bapa #WashaCheche

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Maisha ndio haya na ladha halisi ni moja tuu! Enjoy Konyagi, kinywaji halisi cha Kitanzania chenye Ladha ya citrus, kuwa wa kipeke na furahia maisha na Konyagi. Share moments zako za Maisha Ndiyo Haya na utu-tag. #MaishaNdioHaya #Konyagi #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Huu ni ule mwezi wa sikukuu na enjoyment tuu, usisubiri filimbi, #MaishaNdioHaya. Kamata bapa, shtua washkaji na mu#WasheCheche! 🔥🍻 M-tag yule rafiki yako ambaye kuenjoy hadi apigiwe filimbi. #MaishaNdioHaya #WashaCheche #Jibapa #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Weekend hii na sisi tupo kwenye msafara, na sisi tunawasha mataa taa pale unapoagiza bapa. Chagua spot yako, cheki washkaji na tuendele kuenjoy maana #MaishaNdioHaya Tag masela wanaoenjoy mataa taa kama msafara.​ ​ #Jibapa​ #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Huu ni ule mwezi wa bata! Na mzaramo anatukumbusha bata sio mpaka tuvunje vibubu jamani enjoy maana #MaishaNdioHaya. Sasa kamata bapa, cheki washkaji, na muendelee ku#WashaCheche. #MaishaNdioHaya #WashaCheche #Jibapa #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Bapa ni lazima ushee na washkaji! long weekend hii hapa wacheki wana kuweka Mipango sawa maana #MaishaNdioHaya #WashaCheche #Jibapa #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Mzaramo ndio master wa enjoyment, au we unabisha?? Mtag mshikaji wako mwenye sifa za Mzaramo #MaishaNdioHaya #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #Jibapa #Mzaramo

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Kama ni Mhaya, Msukuma au Mzaramo, bila Konyagi siyo party! Tunaunganishwa na vibes, tunatofautiana kwa lafudhi tu. Kila kabila lina style yake, lakini enjoyment ni ileile. Maisha Ndio Haya! Tutajie kabila lako na utuambie mnenjoy vipi Konyagi. #WashaCheche #MaishaNdioHaya

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Style ya Wahaya inajulikana confidence juu, maamuzi fasta! Wale wa kuenjoy bila kupoa… The Haya Hustle ni halali kabisa. Tuambie majina mengine ya cocktails yanayoendana na makabila mbalimbali na namna wanapenda kuenjoy Konyagi. #WashaCheche #HayaHustle #MaishaNdioHaya #Jibapa

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

The Sukuma Spice iko tofauti kabisa! Hii ni kwa wale wanaochapa kazi mchana na wanajua kupumzika kisawasawa usiku - wapambanaji wa ukweli wasiopenda masihara. Maisha Ndio Haya! Tag msukuma anayestahili hii glass ya ladha halisi ya taifa #WashaCheche #Jibapa #MaishaNdioHaya

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Hii ni ya ku-relax, sio ya ku-overthink. Ni ya wale wanaojua kuwa starehe ni sehemu ya maisha. Watu wa soft life vibes za ukweli. Tag washkaji zako wa "miguu juu" ambao hawataki stress hata iweje, waambie Maisha Ndio Haya! #WashaCheche #HayaHustle #MaishaNdioHaya #Jibapa

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Zaramo Zing ni kwa ajili ya wale wanaojua kutabasamu bila sababu, na kucheka kwa sauti ya roho safi. Wajanja wa jiji wanaojua chocho zote za starehe. Tag yule mshkaji wako ambaye ni wa mjini mpaka tone la mwisho. Mwambie Maisha Ndio Haya! #WashaCheche #Jibapa #MaishaNdioHaya

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Hii ni ya watu watulivu, wanaojua ku-spread charm bila hata kujaribu. Hii cocktail ni ya kupumzika kistaarabu, huku ukiacha watu wakisema “kuna kitu special na huyu jamaa” Tag washkaji zako wa kipare – waambie Maisha Ndio Haya! #WashaCheche #TheSpiritOfTheNation #MaishaNdioHaya

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Konyagi moja, kila mtu na style yake! Unaipiga na soda? Tonic? Cocktail ya kibabe? Au straight tu na ice bila mbwembwe? Style tofauti, lakini cheche ni ile ile. Tag washikaji wako wa meza moja, waambie Maisha Ndio Haya! #WashaCheche #MaishaNdioHaya #Jibapa #TheSpiritOfTheNation

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Kwa upande wako ukisikia Kunywa kiustaarabu unaelewa nini kati ya hivi:- Kunywa maji mengi Kula kabla ya kunywa Kutoendesha baada ya kunywa Vyote #washacheche #thespiritofthenation #washacheche #kunywakistaarabu

Konyagi Tanzania (@konyagiofficial) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa leo ni siku ya chakula duniani, tutumie siku hii kukumbuka kwamba hairuhusiwi kunywa kabla ya kupata chakula. Wakumbushe marafiki kuwa ili bapa inoge na ilete vibe ni lazima tupate msosi wa kutosha . Tag washikaji zako ili waone hii. #thespiritofthenation #washacheche