Mtu wa Mungu unawezaje kusali ukiwa umejifunika shuka kwenye kitanda chako..?, inuka upige goti usali ikiwezekana tembea tembea kwenye hicho chumba chako huku ukimwomba mwenye dunia yake. ππ½
Luka 23: (44--46)
Kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda, jua limepungua nuru yake pazia la hekalu likapasuka katikati, Yesu akalia kwa sauti kuu akasema, "Ee baba mikononi mwako naiweka roho yangu"