#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Septemba 9, 2025
Part 1
Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari.
Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 4
Anaendelea Mhe. Lissu
Sasa hayo ni rahisi
Nataka nianze na Magumu.
Ukurasa wa 86 to 89 kuna amri ya hakimu wa mahakama ya kisutu ulibadilisha kabisa maudhui na maana ya uamuzi wa mahakama kuu kuhusu kuficha mashahidi.
Mahakama kuu ilitoa
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 5
Mhe. Lissu anamuuliza Katuganga nani anaevunja amri ya mahakama kati ya Wakili Mkuu wa Serikali na team yake yote ambao wamewaweka wazi wote.
Kile walichoambiwa na Mahakama Kuu wasikifanye ndo wamekifanya, mwenye kosa ni nani hapo mimi au wao?
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 6
Amemaliza Wakili wa Serikali Mrema
Naona Majaji wanajadili jambo kidogo hapa
Jaji Nduguru anasema kila upande una wajibu wa kuiambia mahakama sio useme navumilia.
Kama kuna jambo lilionekana mapema kuna lina shida ulipaswa kusema na sio
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 7
Anaendelea Mhe. Lissu
Sheria inasema mtuhumiwa akikataa kusign mahakama iseme kuwa amekataa kwa kuandika.
Sasa mimi sijasign sijaweka gumba na wala hakuna paliposema nilikataaa kusign. Mambo yamevuruga kiujumla jumla tu.
S. 266(6) of
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 12
Anaendelea Mhe. Lissu
Tatu. Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Dodoli Kapufi ilisema nini kuhusu kifungu cha 183?
Jaji Chande alisema in essence that section is deal with trial not deal with Committal. Section inayodeal na committal ni S. 261.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 13
Anaendelea Mhe. Lissu
Upande wa mashitaka unalazimisha kuipa mamlaka Kisutu ambayo haikuwa na hayo mamlaka, wao wanasema inayo mamlaka mimi nasema haina.
George Abdon Kilinga mahakama inasema walikubaliana.Totally wrong. It is