PHILOSOPHER (@kipustar17) 's Twitter Profile
PHILOSOPHER

@kipustar17

biomedical engineer | believe in God

ID: 1219500799593762817

calendar_today21-01-2020 06:04:07

9,9K Tweet

8,8K Followers

5,5K Following

PHILOSOPHER (@kipustar17) 's Twitter Profile Photo

Mtu umekutana nae mala moja ukapiga chini mwaka umeisha anakupigia na kujitambulisha et nina mtoto wako nimelea mimba pekeangu njoo umuone mamae siendi mm

PHILOSOPHER (@kipustar17) 's Twitter Profile Photo

Demu nimempanga vizuri leo aje mida mibovu namgusa anasema mbona hukusema kama kuna kuja nimekausha jioni ananambia anashida na hela ya kulaa nimemwmbia nipo bushi mtandao jau simsikii manina zake

PHILOSOPHER (@kipustar17) 's Twitter Profile Photo

Oyaa leo nimeshinda na dogo geto niseme tu wanawake wanaolea wanakazi aisee dogo hatulii ukimwbia kaa hapa sekunde anatii utashangaa yupo kwenye tv ananing'inia mala kapigwa short duuu

PHILOSOPHER (@kipustar17) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku tupo seminar kuna jamaa alivoona mpunga umetema akasema tuandae party mchango 30k watamuita janabi atumotivate nikacheka sana

Kuna siku tupo seminar kuna jamaa alivoona mpunga umetema akasema tuandae party mchango 30k watamuita janabi atumotivate nikacheka sana