Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile
Kigogo Media

@kigogo2014

Official X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]

ID: 2430656918

linkhttp://kigogomedia.com calendar_today06-04-2014 15:54:26

223,223K Tweet

1,5M Takipçi

855 Takip Edilen

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amerejesha fomu katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya kuteuliwa kugombea kiti cha Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Sawa hawatafuata maelekezo ya msajili lakini INEC imemwambia Mpina asikanyage hata ofisi za INEC maana hawatamteua na hana vigezo...

Sawa hawatafuata maelekezo ya msajili lakini INEC imemwambia Mpina asikanyage hata ofisi za INEC maana hawatamteua na hana vigezo...
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

UFIPA NA WANAHARAKATI UCHWARA TUNAOMBA UWANJA NA MTUVUMILIE SANA KIPINDI HIKI... CCM wanazindua kesho kampeni na tulishasema tusipangiane cha kusema linapokuja suala kuuza wagombea wa CCM na kampeni zake, kwa sababu toka mwanzo mlipokuwa mnatutukana mitusi tulipounga mkono

UFIPA NA WANAHARAKATI UCHWARA TUNAOMBA UWANJA NA MTUVUMILIE SANA KIPINDI HIKI...

CCM wanazindua kesho kampeni na tulishasema tusipangiane cha kusema linapokuja suala kuuza wagombea wa CCM na kampeni zake, kwa sababu toka mwanzo mlipokuwa mnatutukana mitusi tulipounga mkono
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

Naam Naam! Hadi ninapoandika ujumbe huu nipo viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, Dar es Salaam imezizima. Leo tunakesha, ratiba ya CCM inaanza saa mbili asubuhi ila wafuasi yetu inaanza leo leo hatu muda wa kupoteza. 🔥🔥🔥 Tunazima zote na kuwasha kijani kwa siku 60 hizi🔥🔥🔥

Naam Naam! Hadi ninapoandika ujumbe huu nipo viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, Dar es Salaam imezizima. Leo tunakesha, ratiba ya CCM inaanza saa mbili asubuhi ila wafuasi yetu inaanza leo leo hatu muda wa kupoteza. 🔥🔥🔥

Tunazima zote na kuwasha kijani kwa siku 60 hizi🔥🔥🔥
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Uongozi ni maarifa na siasa ni sayansi!... Haya wanaharakati mnaanza saa ngapi kumtukana Mwambukusi mzee wa Chapta Foo!.. 🤣🤣

Uongozi ni maarifa na siasa ni sayansi!... Haya wanaharakati mnaanza saa ngapi kumtukana  Mwambukusi mzee wa Chapta Foo!..

🤣🤣