
M A G I R I
@kiganyi_
Mhandisi Jamii | Libertarian | #MUFC #SimbaSC
ID: 564735441
http://www.kiganyi.com/ 27-04-2012 14:25:49
249,249K Tweet
398,398K Followers
980 Following





Kama MTAALAM wa masuala ya kodi na mzalendo kwa nchi yangu naomba ufafanuzi kutoka TRA Tanzania kwanini gari analotumia mgombea urais wa CHAUMA bwana SALUM MWALIMU land cruiser ZX T610DGP limesajiliwa details MAKE- KIA na MODEL -SEDONA?Je wamekosea plate number?Kodi ililipwa?π€












Ukiwa unapita pita ukurasa wa Chinese Embassy in Tanzania Unapata fursa ya kujua historia ya Taifa hili kubwa kiuchumi. Jamaa wamechapana mpaka civil wars, hakuna stage ya maendeleo wameruka, and here they are. Tujifunze au tuige. Follow Chinese Embassy in Tanzania


