Eng.Zamakhshary (@khilafah8) 's Twitter Profile
Eng.Zamakhshary

@khilafah8

Running away from the problems does not the way of solving them

ID: 2212308200

calendar_today24-11-2013 11:07:37

5,5K Tweet

580 Followers

2,2K Following

Eng.Zamakhshary (@khilafah8) 's Twitter Profile Photo

December hii unatoka zako shule umepauka unakutana na wale wa mama wale wanatengeneza maembe Yana chumvi Fulani hivi Ina kapilipili na limekatwa kwa ustadi unaovutia Kisha mwenzako ananunua embe moja Kisha anakugaia kipande Dah LIFE

Eng.Zamakhshary (@khilafah8) 's Twitter Profile Photo

Hawa watu hawana aibu yaani nchi zetu shida kubwa ni mfumo wa kibepari sasa wawekezaji wa marekani lazima walindwe maana yake watalipa Kodi kidogo au hawatalipa tukisema afrika unahitaji mfumo mbadala muwe mnaelewa sio kuukumbatia ubepari na demokrasia yake

Eng.Zamakhshary (@khilafah8) 's Twitter Profile Photo

Pindi nilipofahamu kitabu hiki (Quran) kina daraja na hadhi ya kipekee kwa namna ambayo amekiteremsha mwaminifu wa mbinguni (Jibril)kwa mwaminifu wa Duniani (Muhammad) niliazimia kumaliza maisha yangu katika kukitafiti na kukisoma

Eng.Zamakhshary (@khilafah8) 's Twitter Profile Photo

Almighty. Keep us focused as we approach #Ramadan. Starting the race is always much easier than what comes later. We ask You for endurance & resilience. Keep our hearts firmly attached to You, knowing You always have our backs. Aameen.

Eng.Zamakhshary (@khilafah8) 's Twitter Profile Photo

Don’t stress over things you can’t control. Hand it over to the Almighty. There’s no need to spend sleepless nights thinking about your problems. It’ll get you nowhere. He will easily take care of things if only you’d trust Him.