Siwezi kusema mimi ni expert but from time to time hua nanunua vitu Alibaba… 23/24 nimetumia $13,300 kuagiza vitu.. Unaweza niuliza chochote kwenye comments..
💨 Wateja wangu wanapokuja dukani kununua simu hasa za Samsung huwa wanakuwa na hofu jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye simu ya zamanj kwenda mpya.
Hufikiria kwenda kutumia siku nzima kuhamisha data zote kwenye simu.
Mimi huwasaidia kufanya jambo hilo ndani ya dakika...
#UZI
💨Hali ya hatari sana hii..... Amna natania tu😀😀.
Watu wengi wamekuwa wahanga wa kusahau nywila/neno la siri kwa kimombo ni password yao ya account ya Gmail au email address zao.
Hali hii imekuwa tatizo hasa wakijaribu kurudisha email zao ...
#UZI
💨Je umekuwa ukisumbuliwa kufanya biashara mtandaoni kwa kukosa mastercard au visa card?
Katika dunia ya leo ya kidigitali, kuwa na Visa Card au MasterCard ni muhimu kwa kufanya malipo ya mtandaoni, kununua bidhaa kimataifa, au....
#UZI
💨JE UNAJUA UNAVYOACHA FOOTPRINT ZAKO/ TAARIFA ZAKO NA NAMNA YA KUZIONDOA MTANDAONI.
Je, umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani umeacha alama zako mtandaoni? Kila unachofanya kwenye simu au kompyuta kinaacha Digital Footprint
So Kuna Hii Formula nilijifunza inaitwa—“CSI”
Inasema Hivi:
1). Tengeneza Mazingira ya Pesa Kuingia Kila Siku Haijalishi ni ndogo Kiasi gani—(Cash Flow In)
2) Weka Akiba ya Kutosha—(Save)
3). Wekeza Hiyo Akiba kwenye Cash Flow In—(I)
#UZI
💨JE UNAJUA MAKOSA HAYA HUPELEKEA NAMBA ZA SIMU KUFUTIKA KWENYE GMAIL YAKO?
Wengi wetu huhifadhi namba zetu kwenye email (Gmail) kama backup – lakini kuna wakati unaamka, unakuta namba hazipo!
Zimefutika! Zimepotea! Lakini kwanini?
Shuka🧵👇
Kwa kufupi sio Haki miliki tu!
Nimeandika hapo kwa kichwa cha habari ili nipate attention yako, kwa sababu najua wengi wanajua Haki miliki ni nini.
But hivi karibuni kumezuka mjadala au Debate kuwa Sheria ya Intellectual Property (IP) ifutwe ili kuongeza ubunufu zaidi
Shuka👇
#UZI
💨JIFUNZE NJIA ZA KUTENGENEZA QR CODE YA BIASHARA KWA KUTUMIA SIMU YAKO (step by step)
QR Code inaweza kugeuza biashara yako kuwa ya kisasa na rahisi kufikiwa na wateja kwa sekunde chache tu.