
KhalidChukuchuku93🇹🇿
@khalidchukuchuk
Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , @kmcfc_official MCO
ID: 1186177167828439040
https://www.youtube.com/@chukuchukutv 21-10-2019 07:07:43
18,18K Tweet
376,376K Takipçi
3,3K Takip Edilen




Tofauti ya yule Jamaa anaitwa Elia na kundi la wachezaji wengi ni kwamba jamaa ni unpredictable baada ya ku receive Mpira hujui kinachofata na hii ndio Silaha yake, kmcfc_official tuko kwenye project ya kupata, Kundi Kubwa la wachezaji wa aina na kuwabilisha waliopo kuwa Hatari


Hongera sana Mpangaji wetu Simba Sports Club sasa tukutane Ali Hassan Mwinyi Tabora tukaendelee na NBC Premier League .



Muongeze Hussein Massanza hapa


Viingilio vya kuja kutazama mchezo mkubwa wa Dar es saalam Derby kati ya kmcfc_official dhidi ya Wana fainal wa kombe la shirikisho Africa Simba sc . Hii sio ya kukosa .








