khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile
khaan mbarouk

@khaan_mbarouk

ID: 973575882181922818

calendar_today13-03-2018 15:05:53

352 Tweet

1,1K Takipçi

284 Takip Edilen

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

Huwa anakuletea Pedi? Huwa anaruhusu Hasira zako Umalizie kwake? Huwa anakupa Dawa za kupunguza maumivu kwenye kipindi hiko? Anakua karibu na wew? Anakulete chakula unachotaka ukiwa Period? AU TUSIINGILIE MAHUSIANO YENU..!😀😀

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

Zamani ilikua ukimuacha Binti aliyekupa Mwili wake kwa Mara ya Kwanza, Basi huyo Binti Anajiua, ila Siku hizi, Ukimuacha Asubuhi tu, Jioni unamkuta Wavuvi Camp tena yuko Juu ya Meza Anapiga na Filimbi…!🤔

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

umempa mimba, Umemzalisha na kisha umemkimbia kwa kutegemea ataishi kwa Shida, Sikia wew boya, HII PISI TUTAIPENDA NA KUIHUDUMIA NA MTOTO WAKO TUNAMLIPIA ADA…SHUBAHAMMITT..!!

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

Hajatoboa Kipini, Havai Kikuku, Shape ya Rombo, na bado unasema huyo ndio Mwanamke wa Maisha yako, Ndugu zako tukisema umerogwa Unatuchukia…!😀😀

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

kwa siku ya Leo kama Ulinitumia Sms yoyote WhtsAp, Tafadhali naomba nitumie tena, Simu yangu ilikua na Shida leo kutwa Nzima..! NAOMBA RADHI KWA USUMBUFU HUU..!

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

Hivi unajua kwanini kabadilka? Sababu unaleta mazoea kwenye mapenzi, haupo kama zamani, Humvutii tena, anakuona wa kawaida, but usijali NIPO hapa kwa Ajili yako! Njoo TULIFUFUE PENZI LENU, KABLA HAWAJAPITA NAE..!

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

Khan hatengenezi Clip za Furaha tu, Kama huyo uliyekua nae amekua Jipu lisio sikia Dawa, Hebu Njoo kwanza nina Clip yake ya kumpa Makavu, wengine hawabadiliki bila maneno mazito! SHUBAHAMMITT

khaan mbarouk (@khaan_mbarouk) 's Twitter Profile Photo

Mwakani Nafunga sana, Sala za kutosha Kutoa sana Sadaka, na Kauchawi kwa Mbaliiiiìii, huyu mtoto akinikataa na Hapa NAFUNGUA KANISA🥲