Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile
Kenny Mmari Snr.

@kennedymmari

Sworn Adversary of GroupThink | Memento Mori. Memento Viveri| Views are mine, interpretation is yours | @SerengetiBytes, @DigitalAwardsTZ, @TZChangemakers | POI

ID: 2309651022

linkhttps://cosoc.com/KennedyMmari calendar_today25-01-2014 08:28:36

14,14K Tweet

169,169K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Kila siku tunayopoteza ni nafasi tunayoiba kwa kizazi kijacho. Nafasi ya kurithi jamii na taifa bora zaidi. Lazima tuamue kutoka kwenye lawama na kuingia kwenye hatua. - Tukabishe hodi, tutafunguliwa. - Tukiomba, tutapatiwa. - Tukitafuta, tutaona. Tuchague kuwa sehemu ya

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Dunia haimwachi mtu bila ya kumpatia zawadi. Lakini zawadi hiyo huota mizizi tu pale inapopandwa, kunyweshwa, na kulindwa. Usikubali kipawa, talanta, au ndoto yako ikabaki porini. Kuza. Tumia. Pambania.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Only white people have the moral high ground and can develop and possess nuclear weapons without facing severe sanctions. Asians, Persians, Africans, and all other second-class humans should never be permitted to develop or possess them. They are a threat to humanity.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

My point is simple: only white people/nations are “responsible enough” to have nuclear weapons. Everyone else? They either have to beg for permission, give them up, or be bombed into submission. Libya gave theirs up. South Africa dismantled theirs. Iraq was invaded and occupied

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Nipe vita na matukio kumi mbayo yameua watu wengi zaidi duniani katika karne ya 20 na 21, na unioneshe ni ipi ilihusisha Waafrika au wao ndiyo walifanya hivyo. I am sorry to say, and with all due respect, ila baadhi mmekuwa programmed karibu kufikia level ya kufikiria kama

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Una obsession na CCM kaka? Sidhani kama kuna posti yangu hata moja umeacha kureply kuhusu CCM. Hata nikiandika nakunywa chai utasema “kwa sababu wewe ni CCM” Give me a little break nipate hewa kaka.

Una obsession na CCM kaka?

Sidhani kama kuna posti yangu hata moja umeacha kureply kuhusu CCM. Hata nikiandika nakunywa chai utasema “kwa sababu wewe ni CCM”

Give me a little break nipate hewa kaka.
Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Wewe umekimbia nchi upo Ujerumani. Ila unataka kuniagiza mimi nikapigane vita ambayo wewe ushiriki wako ni kubonyeza keyboard ya simu. Kama wewe shujaa sana na unataka mabadiliko, njoo tuyatafute pamoja hapa nyumbani.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Tatizo si kukosa nafasi pekee, bali pia ni kutojiandaa wakati nafasi inakaribia. Kila siku unayo leo ni mazoezi kwa nafasi utakayopewa kesho.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

NYANI MZEE Babu, kuna mtu anaitwa Kennedy Mmari aliwahi kusema hivi, nanukuu: "Hapa Tanzania, ukiwaza kwa kutumia akili sana UTAKUFA mapema. Unatakiwa kuchukulia mambo kwa akili nyepesi tu na ya kawaida; ili USIUMIE." Mwisho wa kunukuu.

Khamenei.ir (@khamenei_ir) 's Twitter Profile Photo

They celebrate a day for abolition of slavery but such crimes are committed against the blacks. #EricGarner #TrayvonMartin #BlackLivesMatter