
Kazimoto_complex
@kazimotocomplex
Dealers in all types of Motorbikes, Bajaj, Electronics,Home Appliances,Apartments and Rental Frames. Super Agents for Tigo-pesa, Multi Choice Ltd, Azam.
ID: 1510687009135804427
https://instagram.com/kazimoto_complex?utm_medium=copy_link 03-04-2022 18:34:02
195 Tweet
537 Takipçi
1 Takip Edilen


Jumatano ya Kibabe na Wateja Wetu wa nguvu kabisa ndani ya Kazimoto_complex . Ofa zinaendelea kama kawaida, Punguzo La Bei la Kutosha, Bidhaa za Aina zoteee nazo zipo mshindwe nyinyi tu. Ruksa kuuliza Bei ya Pikipiki, Bajaj au Guta aina yoyote. Karibuni Sana🎉


Ni Furaha kwetu pale ambapo wateja wetu wanafurahia huduma pamoja na bidhaa zetu. Karibu sana ndani ya Kazimoto_complex uweze kujipatia bidhaa na huduma bora kabisa. Bidhaa zetu zote zina Ofa KemKem, Warranty ya mwaka mzima, Bei Nafuu Pia! Karibuni sana🎉🔥


Tuko Wazi Leo Nanenane tukiwa na Ofa nzuri ya sikukuu hii ya Wakulima. Karibuni sana Kazimoto_complex mtembelee showroom zetu zote, bila kusahau Ofa ya BEI SPECIAL TU YA LEO, Mafuta ya 78,000 utaponunua pikipiki ya Boxer ya aina yoyote, Usajili na Bima pia ni bure. Karibuni🔥🎉.



Jamaniii eehh Bidhaa zetu zinakupa glow flanii hivii kama ya Mr Comfort Hapa. Ndani ya Kazimoto_complex, Dodoma utapata bidhaa bora na Imara bila kusahau Huduma Nzuri itakayokufanya ujisikie nyumbani. Karibuni Sanaaa kwa mahitaji ya Pikipiki, Bajaj na Guta aina zote🔥🎉


Malkia wa Nguvu Kanda ya Kati x Kazimoto Complex T Ltd ndani ya Clouds Tv. Afisa Mauzo wa Kazimoto_complex nitakuwa live tarehe 30.08.2024 kushuhidia Tuzo za Malkia Wa Nguvu ndani ya Clouds Tv. Sisi Kazimoto_complex tunafuraha sana kuwa moja wa wadhamini wa Malkia wa Nguvu🎉🔥


Pikipiki za Umeme zinapatikana ndani ya Showroom zetu za Kazimoto_complex kwa bei nafuu kabisa. Pikipiki hizi zinauwezo wa kwenda hadi 60kms zikiwa full charged, zinatumia masaa 3-4 kuwa full charged. Unaweza kubeba abiria mmoja au mizigo ambayo siyo mizito sana. Karibuni Sana🎉


Hello X Family, Ningependa kutoa OFA YA MAFUTA YA 78,000 YA BURE kwa mteja yeyote atakaenunua pikipiki ya Boxer aina yoyote ndani ya Showroom zetu za Kazimoto_complex. Pia utapata Usajili Bure, Bima Bure na Oil ya 1Ltr Bure. Mtag mwanao anaehitaji Boxer asikose Ofa Hii🎉



Wiki yangu imeanza vyema kwa udhamini wa 🌻porsche✨💛. Bila kusahau wateja wangu naendelea kuwakaribisha ndani ya showroom zetu za Kazimoto_complex na wiki hii natoa tena mafuta ya 78,000 BURE kwa mteja atakayenunua pikipiki ya Boxer 150/125 ofisini kwetu. Nawatakia wiki njema❤️🎉


The Wait Is Almost Over🎉 Wateja wetu wa Kazimoto_complex sasa tumewafikiaaa ndani ya Jiji la Daslamuuuu. Tunayofuraha kubwa kufikia wanafamilia wetu wa mkoa wa Dar. Stay Tuned For The Best Bikes Showroom in Tanzania🔥


Umewahi kuona Oil gani ya Pikipiki inayotumia 4,000kms. Sasa basi, ndani ya showroom yetu utajipatia Oil hii ya Honda, imara kwa 17,000Tu. Yaniiii, mwezi mzima unatumia 17,000 badala ya 40,000 katika service za Oil. Karibuni sana sana Kazimoto_complex Dodoma🎉


Nina Furaha sanaaa kuwatangazia PUNGUZO KUBWA LA BEI msimu huu wote wa sikukuu. Bila kusahau utaponunua bidhaa ndani ya Kazimoto_complex utapata; ✅Simu ✅Kalenda ya 2025 ✅Tshirt/Jacket ✅Mafuta ya 40,000(Bidhaa za Boxer). ✅Oil ✅Warranty ya Engine 1yr Karibuni sanaa🎉🥳



Shukrani nyingi sana kwa wateja wetu wa Kazimoto_complex kwa support yenu kubwa ndani ya mwaka huu wa 2024 katika kufanikisha mafanikio na ushindi kwenu na kwetu kama kampuni. Mwenyezi Mungu aendelee kututia nguvu na mwaka 2025 ukawe mwaka wa mafanikio zaidi kwenu wateja wetu🙏


Heri ya siku ya wapendanao wateja wangu wapendwa❤️🫶🏽. Kutambua upendo wenu juu ya kampuni yetu ya Kazimoto_complex , kutakua na punguzo kubwa la bei katika bidhaa zetu kwanzia leo hadi wiki ijayo. Karibuni sana sana tusambaze upendo kwa kuchagua huduma na bidhaa zetu🎉


Good vibes in our showroom Kazimoto_complex earlier today. Habari mpya ni kwamba ni rasmi sasa Honda Power Products(Generators & Water Pumps) zinapatikana ndani ya showroom yetu ya Dodoma na Dar es Salaam kwa bei nafuu kabisa. Karibuni sana tuwahudumie💃🏽
