Kayumbaasosie (@kayumbaasosie) 's Twitter Profile
Kayumbaasosie

@kayumbaasosie

Musician from Africa| Singer/song writer
#OGUNITY |BOOKING [email protected]
0673201286

ID: 1446941781254447106

calendar_today09-10-2021 20:53:12

2 Tweet

42 Takipçi

26 Takip Edilen

Kayumbaasosie (@kayumbaasosie) 's Twitter Profile Photo

Kiupande Wangu Hakuna kitu kinanipa Faraja Na Amani ya moyo Kama nikimuona mama yangu mbele yangu. Jana ilikuwa ni siku kubwa sana kwangu kwakupata nafasi ya ku kuimba mbele ya MAMA YANGU MZAZI @mama_kayumba Asante Sana @efmtanzania ASANTE #HOMA

Kayumbaasosie (@kayumbaasosie) 's Twitter Profile Photo

Kwenye muziki Kuna changamoto nyingi sana mpaka Kuna muda unatamani kukata tamaa kabisa lakini ukweli maneno kama haya ya hamasa kutoka kwa msanii mkubwa na mwenye heshima kama Alikiba yanatia faraja sana kuona unachofanya kinaonekana. Kaka yangu Alikiba asante