
karim
@karim888c
tz
ID: 2207409456
21-11-2013 16:01:25
4,4K Tweet
448 Followers
575 Following

Tumsaidie Waziri wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba, PhD kujua shule za aina hii ziliko ili wanavyokusanya hizi TOZO kandamizi wasile peke yao. Ni muhimu viongozi wa Serikali wakaacha ubinafsi kwenye mali za umma ili iwe rahisi hata kwa watoto wa masikini kutimiza ndoto zao.







Naomba retweet yako ๐๐ฟ๐๐ฟ Nauza cake napatikana bukoba 0752383623 ๐๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐ ๐๐๐๐ข๐ Malkia Nyuki ๐ Spana & V.A.R Movement @Njamasi Spana & V.A.R Movement Neypaul๐ค




Habari Members TOT Please natafuta Patner ambaye ni Software Developer kwa ajili ya kutengengeza app ya simulizi. Yeyote awezaye naomba tuwasiliane kwa Email [email protected] au aje DM Naomba RT iwafikie wengi. Sincerely yours Fortunatus Buyobe






