Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile
Dr. Kala. MD

@kalegamyeh

Medical officer/blogger/humanitarian/ Studying and working at Missouri state university🇺🇸

ID: 877651358538747904

linkhttps://sirizaafyabora.info/ calendar_today21-06-2017 22:16:04

39,39K Tweet

7,7K Followers

1,1K Following

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Hua najiuliza sana kuhusu fursa ya kuwekeza viwanda vya kutengeneza dawa na vifaa tiba Tanzania. Kwanini watu wanaikimbia hii fursa na mitaji wanayo? Mzigo kutoka nje ni hatari kiasi hicho kwa uzalishaji za ndani? Yaani hata Kiwanda cha fluids, gloves na syringes haiwezekani?

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Siku tatu za kwanza za wiki ni muhimu sana kwa diet and detoxification bcoz hazina vishawishi vya sherehe au shughuli mbali mbali za kula na kunywa. Zitumie vizuri kuboresha afya.

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Upinzani ni mgumu sana kwenye nchi maskini. Ni rahisi sana serikali kuwanunua maskini na kutengeneza chama feki kwa gharama kubwa. Serikali inajua, wananchi wanajua na waangalizi wa kimataifa wanajua. Unajiuliza, tunamdanganya nani?

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa shule ya msingi Nilikua nasikia waziri alikua anaitwa Marry Nagu. Nilipoona hii nikashangaa kidogo. Mdau mmoja akaniambia kwamba huyu ni mwingine. Kweli bongo bila maelekezo hutoboi.😀

Nikiwa shule ya msingi Nilikua nasikia waziri alikua anaitwa Marry Nagu. Nilipoona hii nikashangaa kidogo. Mdau mmoja akaniambia kwamba huyu ni mwingine. 

Kweli bongo bila maelekezo hutoboi.😀
Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Shemeji yangu mmoja ambaye ni mke wa mshikaji wangu aliniomba nimsaidie process za kwenda USA kufanya kazi kama muuguzi. Basi akafanikiwa kufaulu mitihani yake. Mshikaji wangu akanicheki kunishukuru sana. Wiki iliyopita jamaa ananicheki akiwa na stress kali huku amelewa kwamba

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

This guy is my best friend since high school. Kazini kwake kapata offer ya kuja kufanya kazi US kwa salary ya $8k but bongo anatengeneza $20k per month.😄

Jana nimepiga story na mshikaji wangu kwa kirefu ambaye ni MD kwenye moja ya hospitali kubwa sana hapo mjini ambazo jobless wengi wanazitamani. Ameazimia kuacha kazi na kwenda kujichimbia mbarali au malinyi akalime mpunga. Sasa namuuliza, kwann usingeenda huko baada ya darasa la

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Kama hauna plan A to Z na umetoka kwenye familia maskini, usiache kazi serikalini. Japo kuna mifano mitamu ya waliotoboa ipo pia mifano mingi ya waliopotea kabisa kwenye game mpka wakarudi kumpigia magoti mkurugenzi. Ukiona idea yako ni tamu sana basi chukua likizo bila malipo

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Unaambiwa Ukitaka ku import anzisha familia akiwa bongo. Marekani anaenda na watoto watatu. Ukipeleka mwali umeisha. Yeye pia ana ndoto za kuolewa na mzungu.😆

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikiliza kwa makini sana Askoku Gwajima. Na hii ndio summary ya hotuba yake. 1. Raisi ana mamlaka makubwa mno hivyo tubadili katiba. 2. Genge la watekaji lina baraka za Raisi ndio maana vyombo vya ulinzi na usalama vinajua lakini havina chakufanya. 3. Wakuu wa vyombo vya

Nimemsikiliza kwa makini sana Askoku Gwajima. Na hii ndio summary ya hotuba yake. 
1. Raisi ana mamlaka makubwa mno hivyo tubadili katiba.
2. Genge la watekaji lina baraka za Raisi ndio maana vyombo vya ulinzi na usalama vinajua lakini havina chakufanya. 
3. Wakuu wa vyombo vya
Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

I never knew Mdude in person lakini ni moja ya watanzania wachache sana ambao wanasimamia wanachokiamini hata baada ya misukosuko mikubwa. Kama uko hai basi Mungu akusimamie. Kama hauko hai basi pumzika kwa amani. Damu yako haitamwagika bure.

I never knew Mdude in person lakini ni moja ya watanzania wachache sana ambao wanasimamia wanachokiamini hata baada ya misukosuko mikubwa. Kama uko hai basi Mungu akusimamie. Kama hauko hai basi pumzika kwa amani.

Damu yako haitamwagika bure.
Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Mnasema kwamba mna makaburi ya chief Dr. Frank E. Arabi mnataka myachimbe na kuweka hadharani. Kwani alifanya nini? Sio kwamba alikua Raisi wa Muhasso huyu?

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi ujipate kidogo tu kuliko mzazi wako inatosha. Kuna aina ya utajiri haupatikani kwa kizazi kimoja. Ukiwa realistic na maisha na afya yako inakua safi.