John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@kalage_jr

Owner @Kalage_Perfumes ||
Ambassador of @sedecbuilders || Email: [email protected]

ID: 1303715139993116678

calendar_today09-09-2020 15:21:38

239,239K Tweet

198,198K Takipรงi

2,2K Takip Edilen

๐•ต๐–†๐–’๐–†๐–† ๐•ธ๐–š๐–š๐–Ÿ๐–† ๐•ฏ๐–†๐–œ๐–† (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Wakuu muda uliobaki unaweza kulipia Kifurushi chako cha DStv (TZ) COMPACT kisha ukapata kuungana na sisi Mabingwa wa burudani duniani kwenye kuangalia fainali hii ya leo kati ya PSG vs INTER MILAN. Piga sasa kulipia Kifurushi chako *150*53# #MbungiBampa2Bampa #MbungiLaFinali

Wakuu muda uliobaki unaweza kulipia Kifurushi chako cha <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a> COMPACT kisha ukapata kuungana na sisi Mabingwa wa burudani duniani kwenye kuangalia fainali hii ya leo kati ya PSG vs INTER MILAN. 

Piga sasa kulipia Kifurushi chako *150*53#

#MbungiBampa2Bampa 
#MbungiLaFinali
Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Nitumie huu muda kuwashukuru wote mliofanya kazi nasi, mlioshare kwa wahitaji wa vitabu, mmerepost, mlionitaja huko nje vitabu vilipohitajika, niwashukuru bodaboda( bolt), wasafirishaji wa mikoani narudia tena nishukuru jumuiya hii ya X) kwa kuwa wateja wangu bora 2025.